Search results

  1. Crimea

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hata mamayo kagalagazzwa! Yani mama ni JK part 2
  2. Crimea

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Hivi mtu na akili zako timamu utampenda Samia na Genge lake kwa lipi? . Nauli zimepanda maradufu, yani hapa dar ili usafiri kwa uhuru lazima utenge ten kabisa hapo hujala. . Kodi kila kona, fikiria sement sasa hivi kwa dar hapa bila 20 hufikishi site kwako. . Yani hadi anaenunua luku analipa...
  3. Crimea

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Marehemu kawagaragaza tena! Ndio mtaelewa kwanini watu walikuwa wanajaa kwa Makonda kuliko hayo mapooza ya sasa hivi kuna nchimbi.
  4. Crimea

    Wakuu wa Wilaya Kilimanjaro Wapewa Magari Mapya

    Japan anajipigia tu mihela ya wapumbavu kupitia mi V8 yake
  5. Crimea

    Maji yameziba njia maeneo ya Kin'gori, hakuna kwenda Arusha wala Moshi

    Napenda kumshukuru mheshimiwa rais mama kwa haya
  6. Crimea

    Serikali yatoa Tsh. Bilioni 66 Kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua

    Kapesa kadogo sana hako ukilinganisha na ubovu wa barabara. Hiyo hela hata kwa jimbo la ukonga tu haitoshi
  7. Crimea

    Picha: Geti lililojengwa na TANAPA kuingia hifadhi ya Nyerere kwa Tsh. Bilioni 2

    Kwa Rais yule hiyo bilioni 2 mbona ndogo sana! Wametuhurumia
  8. Crimea

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Kwani kuna bwawa huko nako?
  9. Crimea

    TANESCO: Umeme tunaozalisha ni mwingi mahitaji ni madogo nchi nzima, hakuna mgawo kwa sasa

    Kundi la Samia, Makamba, Nape, JK na Kinana lazima wafure
  10. Crimea

    Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

    Safi sana! Siyo nchi inakuwa na matajiri kina riz one na januari pekee!
  11. Crimea

    Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

    Kumbe wale watu zaidi ya milioni 1 waliokufa USA nao hawana akili!?
  12. Crimea

    Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

    Hao ndio wawekezaji na wafanyabiashara aliowarudisha mama baada ya kubanwa na Magu
  13. Crimea

    'Mama Anatosha' Hii ndiyo kauli mbiu ninayotamba nayo mitaani kwangu na kuungwa mkono kwa wingi

    Samia mwenyewe akiona hii lazima akachekee chooni.
  14. Crimea

    Haya magari ya hivi karibuni yenye namba A yanamilikiwa na akina nani?

    Ila Mjapan anajitafunia tu hela ya tz aisee
  15. Crimea

    Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Hao mnaosema wanafanyiwa bullying ukifika ofisini kwao kutaka huduma unaweza kumpiga risasi kwa huduma mbovu wanazotoa
Back
Top Bottom