Search results

  1. mkolaj

    EWURA yatangaza bei mpya za mafuta ya Julai, 2022. Petroli, Dizeli zapanda

    Kwani hujasoma hilo jedwali la bei za mafuta! Wameandika bei kabla ya ruzuku na bei baada ya ruzuku, kwahiyo unaweza kuona kama wasingepewa hela za ruzuku mafuta yangeuzwaje!?
  2. mkolaj

    Kikosi cha wachezaji 27 wa Simba SC kinachosafiri kuelekea DR Congo kuwakabili AS Vita Club

    @Tate Mkuu hao wamezoea uchawi. Ona alichokiongea Mwina Kaduguda.
  3. mkolaj

    Kikosi cha wachezaji 27 wa Simba SC kinachosafiri kuelekea DR Congo kuwakabili AS Vita Club

    Unapanda ndege kwenda kucheza mechi za kimataifa halafu unarudi na Matokeo ya kupigwa goli 5 ndani ya dakika 45 za kwanza kuna maana gani ya kujisifu???
  4. mkolaj

    Namuona Lokosa kama pacha wa Yikpe

    Sio kwamba hatuna bahati nao, kumbuka Afrika magharibi Kuna watu wajanja Sana, hawa wachezaji wanaokuja huku wanakuwa uwezo mdogo mno. Ni ngumu mchezaji mwenye uwezo wa Afrika Magharibi Kuja East Afrika, wengi hucheza Nchi zilizo kaskazini mwa Afrika na wengine hutimkia Asia, Ulaya, America na...
  5. mkolaj

    Wakati wa Utawala wa Mobutu huyu mzee alikuwa mtu wake wa karibu sana

    Umetoa Habari yenye funzo zuri lakini umeharibu mwishoni Ulikomalizia. Ungemalizia na Magufuli anatosha ingekuwa vizuri sana
  6. mkolaj

    Uchaguzi 2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

    Ngumu hapo ni Akson Tulia VS Sugu. Ila Tulia anaenda ku-win game
  7. mkolaj

    Uchaguzi 2020 Mpaka sasa Halima Mdee ameshashinda Jimbo la Kawe, Dar-es-Salaam

    My prediction Gwajima win either half
  8. mkolaj

    Kwenu Ndalichako na Jafo

    Huo ndio Ukweli. Mchawi wa Mwalimu ni Mwalimu mwenyewe. Alieandika bandiko hili ni mwalimu kabisa.
  9. mkolaj

    Ili kuwekeana heshima kwenye mchezo ujao wa Simba na Yanga, Simba ishinde goli 5 kwa 0

    Hawa Mikia wana matatizo. Eti wanaacha kufikiria game ya leo namna watavyonyongwa pale taifa dhidi ya red devils wa Afrika wao wapo kuifikiria game na Yanga. Badala ya kutafuta heshima ktk bara la Afrika wew unasubiri heshima ndani ya Tanzania.
  10. mkolaj

    Klabu bingwa Afrika: Simba SC 1-0 Al Ahly

    Wamezifuata point 3 zao ili wafikishe point 10 katika msimamo. Halafu mda huo mtakaojichanganya nyinyi kujifanya mnashambia ili mpate goli kumbuka counter attack za waarabu na namna walivyo makini kwenye matumizi ya nafasi wanazopata. Bora na ninyi mpaki basi tu walao mfungwe goli 3.
  11. mkolaj

    Klabu bingwa Afrika: Simba SC 1-0 Al Ahly

    Zana Coulibaly atafanyiwa Sub mapema sana maana naona kabisa goli mbili za fasta fasta wakipigwa simba zitatokea upande wa Zana.
  12. mkolaj

    Klabu bingwa Afrika: Simba SC 1-0 Al Ahly

    Leo ni Asante Kwasi vs Ramadhani Sobhi. Wawa vs Ajayi Junior. Fulltime Simba 1-3 Al Ahly
  13. mkolaj

    Marudio ya vipindi vya michezo kwenye tv

    Mbona hilo halihitaji kujiuliza!! Boss wa Azam tv na ndie huyo huyo mwenye kadi ya Uachama pale Simba. Unategemea nini??? Nani anapenda aibu zake azijue kila mtu???
  14. mkolaj

    Mbunge wa Tandahimba, Katani Ahmad Katani(CUF) akanusha kujiuzulu ubunge na kuhamia CCM

    Karibu kwenye Chama la Ukweli Ahmadi Katani.
  15. mkolaj

    Makonda vs mpango tubet nani atatumbuliwa na mkuu siku za usoni

    Double Chance..... Makonda win or draw.
  16. mkolaj

    Makonda vs mpango tubet nani atatumbuliwa na mkuu siku za usoni

    Hata mimi Nabet hivo hivo. Both team to score.
  17. mkolaj

    Je, Casto Dickson ataenda msibani kwa mzee Peter?

    Kwani Huyu Casto Dickson ndie aliyewahi kuwa Mtangazaji wa redio moja Huku Mtwara inayoitwa PRIDE FM!!!
Back
Top Bottom