Search results

  1. X

    Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    Habari wapendwa, Nakumbuka ilikuwa tarehe 14 ya Julai mwaka huu nilivyofanya vipimo baada ya kukaa muda mrefu bila kupata ujauzito, nilienda hospitali kubwa kama tano hapa Dar na nilionana na madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake tofauti tofauti ila wote majibu yao yalikuwa sawa kuwa...
  2. X

    Naombeni ushauri wenu wa haraka

    Samahani wapendwa, mwenzenu nimechanganyikiwa naombeni ushauri wenu. nilianza kupata maumivu kidogo tumboni sehemu ya uzazi nikaenda kupima hospitalini ni kaambiwa kila kitu kipo sawa ila ni mirija ya uzazi imezibana imeziba karibia na kizazi kabisa. nimerudi leo tena kuonana na Daktari ambaye...
  3. X

    Natafuta kazi naombeni msaada

    Nimemaliza degree yangu ya mass communication mwaka jana 2013, niko dar es salaam natafuta kazi.
  4. X

    Naombeni ushauri kuhusu tabia ya dada yangu

    Wapendwa samahani sana kwa usumbufu, Nina kitu ambacho kwa kweli kinaniumiza moyo wangu sana, sisi kwetu tumezaliwa wawili na wote ni wasichana, dada yangu ni mkubwa kwangu kwa miaka saba hajaolewa na kwa kweli sijawahi kuona yuko na mwanaume ambaye wanadumu kwa muda hata kwa wiki mbili...
Back
Top Bottom