Waziri naomba uwathibiti hawa wakuu wa idara wanaoingizia serikali hasara ya malipo ya uhamisho wa watumishi ngazi halmashauri kwani hufanya hivyo kwa chuki tu.Serikali ina majukumu mengi ya maendeleo kwa wananchi wake na sio kulipa haya mwezi huu uhamisho mwingi umefanyika sana na malipo...
Mawaziri mnaosimamia elimu mnaelewa kuwa maofisa elimu wanatumia madaraka vibaya kwa kuwasumbua walimu kwa kushirikiana na wakuu wa shule?mfano mwalimu akihoji mapato na matumizi ya shule,akitakiwa kimapenzi akakataa huamishwa ili kusababishiwa usumbufu tu na haya yamefanyika mwez huu wa saba...
Nalisema hili kwakuwa mungu katujalia sana tanganyika lwa kutupa rasimali nyingi maji,mbuga,milima,ardhi,watu,amani nk.lkn hakuna maendeleo hii n kwasababu viongozi hutumia ndumba kuingia madarakan hvyo mungu kujitenga nao.
Nashauri wabunge wa Zanzibar wapambane kuwepo kwa bunge la muungano watakapo heshimika. Hapa kwenye bunge la Tanganyika wanaonekana kama wamepotea njia na wataendelea kunyanyasika.
Chukueni mfano bunge la Afrika Mashariki.
Naomba serikal kufuta wabunge wa viti maalumu ili kupunguza gharama za uwendeshaji bunge kwani hawana wanacho saidia sambana hilo wabunge kutoka zanzbr watengenezewe utaratibu maalumu wawe wanaingia bungen tu kwenye mijadala ya muungano na c ya bara.
Aseme ni wananchi wa vijiji gani wamemtuma kwani vijiji ninavyo vijua havijui kama wana mbunge kwa kutoona tofauti ya maendeleo tangu uchaguzi,barabara alioahidi rais mwenyewe bado sasa maendeleo anayosema ni yapi?
semen msemavyo lakn bila serkali 3 hiyo siyo katiba mpya bali ni marekebisho ya katiba ya zamani kwan matatizo makubwa tz n muungano na mambo ya uchaguzi mengne yote n ya kawaida.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.