Search results

  1. W

    Kainerugaba yye ndie fisadi wa elimu

    Mwandishi wa kitabu ametoa First Edition, ndio kitabu kina mapungufu mengi ukizingatia mukadha wa uandishi wa kitabu. Naona mwandishi alikuwa ametiwa shime sana kuhakikisha wananchi amabo ndi wapiga kura kuwa wajue ukweli kuhusu viongozi wanaotawala na kwa hilo amefanikiwa. Ni marekebisho...
  2. W

    CONFIRMED: January Makamba kugombea Bumbuli

    Ndio kila Mtanzania ana haki ya kimsingi ya kisheria kugombea nafasi yoyote ya uongozi ila tusisahau wananchi wana haki yao ya kimsingi pia ya kuchagua kiongozi wao kwa misingi ya deomkrasia makini....... Maoni ya wananchi yaheshimiwe na hizi siyo zama za kutumia pesa kununua kura bali ni zama...
  3. W

    Tanzania: Vyeti bandia, elimu za kununua na watumishi vihiyo

    Ahsante ndugu mjumbe kwa taarifa hii, naomba pia utoe maoni yanu kuhusu matokeo ya kidato cha nne mwaka huu hapa Tanzaia ukizingatia kwa makini na kwa upeo ulitukuka kuwa ni 17.53% tu ya watahiniwa ndo wana daraja la kwanza mpaka la tatu hao wengine ni daraja la nne na sifuri!!! je taifa...
  4. W

    Kijitabu Cha Orodha ya mafisadi wa Elimu Tanzania chagombewa sokoni

    Hapa ndo tunajifunza elimu siyo cheti bali uwezo, na kuthibitisha uwezo wa wahusika wawe wanarusha machapisho ya tafiti zao zilizoenda shule zionekane katika majarida ya kielimu ndani na nje ya nje,yakipitia kwenye mchakato huo ndo tutajenga taifa lenye sauti ya ushindani uliotukuka kuhimili...
  5. W

    Mkuki kwa nguruwe na si kwa kikwete

    ndugu mjumbe hiyo ni njia mbadal ya kuonyesha yuko kwennye vita dhidi ya rusdhwa katika ubaguzi..... ni siasa tu hizo, anakula kama panya......
Back
Top Bottom