Search results

  1. E

    Leo nimeenda ofisi za UTT, naona Watanzania wameanza kuelewa hii kitu

    Ukiwekeza UTT unazalisha faida ya 12% kila mwezi Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  2. E

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mpira una maajabu aisee Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  3. E

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Man u mbovu nimekuta mechi dk ya 40 yan anaelemewa tu Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  4. E

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Shukrani sana Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  5. E

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mwenye link ya kuangalia mechi naomba atupie hapa Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  6. E

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Anaongezewa dk 10 lakini anakata viuno tu Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  7. E

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Young Boyz nao walaaniwe Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  8. E

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hakuna haja ya kusumbua watu. Kama shule ipo, click alama "i" ambayo kirefu chake info itakupa maelezo ya kutosha. Hiyo alama "i" ipo hapo juu ya maandishi "one cut". Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  9. E

    Napendekeza Yanga kukata Rufaa juu ya droo yao ya CAF

    Furaha yangu ni Uto kupigwa nyingi Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  10. E

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sahihi kabisa Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
  11. E

    Ni wajinga wanaoamini Makonda ni bosi wa mawaziri, wakuu wa mikoa na Ma-DC. Yeye ni mteule kama wengine

    Kabisa!! Watu wanashindwa kuelewa kwamba hao mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya wote ni wanachama wa CCM, kimamlaka wapo chini ya Makonda na anayo haki ya kuwahoji muda wowote. Serikali ipo chini ya chama tawala, huo ndo ukweli.
  12. E

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama akalia kuti kavu kwa mara nyingine tena

    Ila lile lijamaa linawagonga sana ma secretary wa pale halmashauri
  13. E

    Naombeni ushauri: Nilichezea mshahara wa milioni 10

    Dah ninyi wenzetu mnapataje Hizo kazi za hela ndefu? maana huku kwetu kwenye TGS ni upuuzi mtupu
  14. E

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi nimewapa to score aisee halaf hamna hata shot on target
  15. E

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Soma pale kwenye alama "i" ambayo kirefu chake ni info, wameeleza wazi kuwa void match yoyote ni Lost.
  16. E

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndugu, huo ni upepo tu. Umeibuka kama walivyoibuka wenzako akina Mr. Pipa, Lwiva, Mubby77, etc. wakaja na ngonjera nyingi wakapotezwa. Haya ngoja tukupe muda na wewe.
  17. E

    Tarehe kama ya Leo Newcastle wanafanya comeback dhidi ya Arsenal Kwa goli nne

    Duh kumbe kitambo Halaf mwamba kaanza kusuka mikeka kitambo sana
  18. E

    Tarehe kama ya Leo Newcastle wanafanya comeback dhidi ya Arsenal Kwa goli nne

    Hivi hiyo game ilipigwa mwaka/msimu gani?
  19. E

    Tarehe kama ya Leo Newcastle wanafanya comeback dhidi ya Arsenal Kwa goli nne

    Arsenal sio timu ya kuaminika, inaua sana wakamalia.
  20. E

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mimi hadi leo siamini kama betting ni dhambi. Betting ni shughuli halali ya kutumia maarifa kwenye utafutaji fedha pasipo kutumia unyang'anyi, udanganyifu wala kudhuru mtu. Tusidanganywe na maneno ya watu waliojaribu kufanya betting wakashindwa wakaamua kuita dhambi ili Ku discourage...
Back
Top Bottom