Najua bado ipo lakini imekuwa siku ya kusafisha makaburi na kutengeza barabara!
https://www.ippmedia.com/sw/habari/jpm-aagiza-zaidi-mil-300-%C2%A0-mashujaa-kujenga-barabara
Thread hii ni nzuri Kabisa. Sasa nina swali. Vipi Captain Alfred Milinga kutoka Treason trial bado yupo hai? Nimesoma ameuawa na Idi Amin baada ya treason trial. asante!
Thread hii ni nzuri Kabisa. Sasa nina swali. Vipi Captain Alfred Milinga kutoka Treason trial bado yupo hai? Nimesoma ameuawa na Idi Amin baada ya treason trial. asante!
Oscar Kambona alichapisha vitabu vinne ambapo alikaa London miaka 1968-1970:
1. Crisis of democracy in Tanzania
2. Tanzania and the problems of African unity
3. Tanzania and the rule of law
4. Tanzania: la defense accuser: Differences between Oscar S. Kambona and President Julius Nyerere...
Miaka 1960s na 1970s wengi walitaka kubadilisha jina Dar es Salaam kuwa MZIZIMA. Dar es Salaam ilikuwa jina la Sultan Majid kutoka Zanzibar miaka 1860s, na Mzizima ilikuwa jina la Mashomvi na Zaramo kabla ya hii. Sifikiri jina la 'Dar es Salaam' ni chafu au dhambi -- Shomvi na Zaramo walikuwa na...
Sio kweli kwamba miaka ya Nyerere utashtukwa "mhaini" kama ukisema maoni yako hayakubali na Nyerere na ujamaa. Labda vijijini lakin kwenye Dar walikuwa WENGI hawafurahi na ujamaa na naizesheni za nyumba na kadhalika lakini walikwepo huru kusema maneno makali mitaani na hata magazeti kidogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.