Search results

  1. P

    Rais Kikwete atoka nje katika kikao cha kumpitisha Ridhiwani

    Ulalamishi mwingine unatia aibu. Tujaribu kutumia vichwa vyetu kufikiri. Ridhiwani ni raia wa Tanzania na ametumia haki yake kikatiba kuomba uongozi wa kuchaguliwa. Ushauri wa kumwambia eti Rais alitoe jina la Ridhiwani eti kisa ni mtoto wa Rais ni ovyo kabisa. Hii ni sawa na Kumshauri Rais...
  2. P

    Ridhiwani Jakaya anawasili muda huu kuchukua fom ya ubunge

    Suala hapa siyo kuwa mtoto wa Rais, Kuchagua na au Kuchaguliwa katika nafasi yoyote ile ya uongozi ni haki ya Kikatiba. Ridhiwani ametimiza haki ya kikatiba ya kutaka kuitumikia nchi yake kupitia uwakilishi wa Bunge. Endapo Rais atasikiliza mawazo mufilisi namna hii ya kumwondoa Ridhiwani kwa...
  3. P

    Dr Mwakyembe afanya ziara ya kushtukiza bandarini usiku

    Tukipata Watu kama Dkt Mwakyembe angalau kumi tu, Hakika tuna kila sababu ya kuondoka kwenye umaskini. Namfuatilia kwa karibu katika kila maamuzi yake. Nakumbuka aliwahi kutoa kauli kuwa "Tukijidhatiti katika utendaji na utekelezaji wa mipango tuliyojiwekea, miaka mitano tu inatosha kuliweka...
  4. P

    Mbunge wa Tabora athibitisha udini wa serikali ya CCM

    Mohamed ulianza vizuri lakini hapo kwenye RED unaonyesha na wewe ni mdini tena mbaguzi na una maumivu ya ndani na si msema ukweli. Unaweza ukatuambia DARAJA LA KWANZA ni watu gani?
  5. P

    Mengi ataka wakristo waache waislam wachinje!

    Kabla Hujalalamika soma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 Ibara ya 18 (a-d)
  6. P

    Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa...

    Kama lengo lako ni kuwa mwanasiasa makini jambo la kwanza SOMA NA UIJUE KATIBA YA NCHI. Hapo kwenye red ni ishara bado una safari ndefu kuwa mwanasiasa makini. Na kwa umri wako kama hadi sasa hujui tofauti ya MBUNGE wa viti maalum na MBUNGE wa kuteuliwa na Rais napata wasiwasi kama utafika...
  7. P

    Picha: JK kwenye ghorofa liloloporomoka

    Naamini Viongozi wanajua nini chenye thamani kati ya WATU (Thinking) na FEDHA (Mali). Kama mkuu wa nchi ameenda kujionea tatizo bila shaka tutarajie maamuzi stahiki.
  8. P

    'Njiani Kwenda Kwa Rais!'-4

    Kama mwelekeo ni kujenga vyema iendelee But kama ni mwendelezo wa kuharibu hadhi ya Baba wa Taifa tafakari upya
  9. P

    Mbowe: Rambi rambi hazisaidii kwa hii jamii ya Tanzania

    Pole mkuu. Majibu yako hayahalalishi Comment yako. Kuanzisha thread inayotaka uwajibikaji na upande mwingine unatoa Comment inayodemoralize watu kuhoji zaidi ni double standards hizo mkuu. Nadhani tuache uchama katika mambo ya msingi. Makene amejitahidi kukurudisha kwenye mstari wa kufikiri...
  10. P

    Mtela Mwampamba afunguka ndani ya Passion FM

    Duniani watu wamegawanyika katika makundi matatu: 1. WATU MAKINI (Wenye fikara kubwa)- Hawa huzungumza masuala 2. WATU WA KAWAIDA (Fikara za kawaida)- Hawa huzungumza matukio 3. WATU DUNI (Wenye fikira duni) - Hawa huzungumza watu Kila mtanzania ajaribu kuangalia kwa sasa yupo kundi gani?
  11. P

    Mwenyekiti mpya CHADEMA kupatikana Desemba 13

    Kama katiba ya CHADEMA inaruhusu muhula mwingine, Nadhani MBOWE bado ni muhimili muhimu katika kukuza siasa za ushindani, demokrasia na kuamsha fikra za watanzania kuhusu ushiriki wao katika kulinda na kufaidika na raslimali za nchi kwa mujibu wa katiba ya sasa Ibara ya 27 (1-2).
  12. P

    Lema: Tutakwenda Mtwara kuwasha Moto!

    Betlehem nadhani suala hapa si CHADEMA, CCM, CUF wala chama chochote cha siasa. suala hapa ni maisha duni na yanayozidi kuwa duni ya watanzania. labda kama wewe ni mkaaji wa mjini tu, lakini kwa siye tunaokwenda vijijini mara kwa mara hoja za wanaMTWARA ni akisi ya wananchi wa maeneo mengi...
  13. P

    Raia Mwema: Zitto kuchukua maamuzi magumu...

    Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema katika moja ya hotuba zake kwamba "Dhambi ya ubaguzi ukishakuitenda haikuachi, lazima ikutafune". Mimi nasema "Dhambi ya usaliti ukitenda lazima ikutafune haijalishi wewe ni nani katika jamii hiyo". Hakuna msaliti wa raia wa Tanzania...
  14. P

    Raia Mwema: Zitto kuchukua maamuzi magumu...

    Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema katika moja ya hotuba zake kwamba "Dhambi ya ubaguzi ukishakuitenda haikuachi, lazima ikutafune". Mimi nasema "Dhambi ya usaliti ukitenda lazima ukutafune haijalishi wewe ni nani katika jamii hiyo". Hakuna msaliti wa raia wa Tanzania...
  15. P

    Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

    Kauli za makada wengi wa CCM kwa maoni yangu yanazalilisha chama na kukifanya kionekane sera zake zimeshindwa kuwakomboa watanzania. Mimi bado naamini CCM ina sera nzuri ukilinganisha na vyama vyote vingine. Tatizo kubwa ni utekelezaji unaokwenda kwa matakwa ya watu na siyo matakwa ya sera hilo...
  16. P

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Hangeweza kukaa kimya kaka maana wakati ulifika. Kwani hujasoma maandiko kuwa wakati ukifika HEKIMA YA SHETANI hukaa pembeni kupisha ukweli umiliki JUKWAA. Haya ni demo, tusubiri PICHA HALISI
  17. P

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    KITU KINGINE AMBACHO NIMEKIONA HAPA NI kuwa haya malumbano ya kundi PM7 na wafadhili wao wameamua kuja na mbinu mpya ya kulaumiana na kutoleana siri zao hapa jamvini as if ni kweli wanalumbana. LAKINI ukiwa makini utagundua ni PM7 at work kuwachafua viongozi wao ili kusambaratisha CHADEMA...
  18. P

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Ukimuona kiongozi analalamika ujue bado hajakua kiakili na kimaamuzi! Kiongozi hutafuta solution kwenye tatizo na siyo nani kakosea then ulalamishi. Pili uongozi ni responsibility na accountability. But tunaambiwa tuna viongozi vijana ambao ukiwaangalia mind sets zao zimejaa ulalamishi. Na...
  19. P

    Dr Slaa afanyiwa hujuma Morogoro

    Kwa mwenendo ninavyouona na jinsi Dkt Slaa anavyopata majaribu. NATABIRI RASMI na mwaweza kuninukuu kuwa RAIS WA 2015 ni DKT PETER W. SLAA. Kumzuia ni sawa na kuzuia mafuriko kwa mikono. Nasema haya kwa kuwa kuna tofauti kubwa kati ya kuwa mpenzi wa chama cha SIASA na kuipenda TANZANIA maana...
  20. P

    Ripoti Maalum: Utetezi wa Tundu Lissu (MB) mbele ya kamati ya Haki na Maadili ya bunge

    Lisu ni wa Kipekee katika medani za sheria Tanzania. Mungu ampe Maisha marefu kwa kuwa ukombozi wa kifikra wa Taifa hili unategemea sana Thinking capacity and daring ya watu kama TUNDU LISU. Mimi huwa namkubali sana kabla hata ya kuwa mbunge enzi za Bulyanhulu. Big U brother Lisu
Back
Top Bottom