Search results

  1. E

    LL.B 1st class holder

    daaaa inaonyesha wewe ujasoma LLb kabisa kama wewe umesoma law karibu law school of tanzania njoo na hiyo 1 class yako utukute sisi wenye pass uone jinsi tunavyokukimbiza kama vile hujawahi kusoma ok
  2. E

    MH.JK usipoteze muda kumshangaa Dr.Slaa huyo ofisi yake ni Majukwaa na wewe ofisi yako ikulu

    jamani JK hatufai hata kwa kurumanzia na ndimu muda umefika na yeye ale kona
  3. E

    My girlfriend ananiibia hela yangu

    kaka bei ya pedi imepanda ok alafu vicheche vingine ni viizi kwa hulka haviezi kuacha we chakachua huku ukiendelea kuitafuta mbadalaaa!!
  4. E

    Swali kwa wapenzi wa kinywaji

    duuuuuuuuuuuuuuuuuu bora mimi nakunywa safari baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!
  5. E

    Tahadhari mnaopenda kuchukua wasichana warembo

    ha ha haa haa haa duuuuuuuuuuuuuuu iiiiii nin oma coz kuna watu wanakwambia wanataka leo akutane ne na leo wamalizane so itakuje ndugu zangu?
  6. E

    Watanzania tunajifunza nini kwa wenzetu wa Kenya?

    tunatakiwa kujifunza kenya ni kwamba wenzetu wakenya wanajua maana ya kupiga kura na umuhimu wa kura so watanzania tujaribu kubadilika
  7. E

    Elections 2010 Mjue mgombea mwenza wa CHADEMA

    ni haki yake kikatiba ok mradi anaweza kutuongoza
Back
Top Bottom