Je Wajua?
MWAKA 1992 MAKANISA NCHINI TANZANIA YAFUNGA MKATABA USIO NA UKOMO NA SERIKALI YA TANZANIA KUCHOTA MABILIONI KILA MWAKA
Makanisa yaliilazimisha serikali kuingia Mkataba mbovu na mgumu kuwahi kutokea TANZANIA na wenye masharti magumu
Soma hii
Mwaka 1992, Serikali iliingia Mkataba na...
WARAKA WA TEC WAGEUKA SEHEMU YA IBADA YA JUMAPILI
KABLA dunia haijavaa vazi la ustaarabu mataifa yalikuwa chini ya amri ya Kanisa. Wafalme na viongozi wote wa dola walitakiwa kwanza kufuata amri za Kanisa ndipo wafanye maamuzi mengine ya kidola.
Huenda baadhi ya viongozi wa juu hasa Wafalme na...

Ndivyo ulivyodanganywa kwenye kigango chako?
TEC wakusanyike pale Mwembe Yanga,halafu Mwamposa Mmoja awe Tamlnganyika Packers
Hata wakatoliki wataenda kwa Mwamposa.
Hapo sijamtaja Mwingila,sijamtaja Lusekelo,Sijawataja wachungajinwengine.
Halafu unakuja hapa na njaa zako kwamba TEC wana nguvu.
Nilitegemea hili ndio liwe tamko la TEC sio uke unjinga walioandika.
Kwenye andiko lako kuna busara kubwa sana kuliko mihemko ya udini na ubaguzi.
Ubarikiwe sana.
Tungekuwa na wakristo kama wewe nchi hii ingedumu na amani hadi mwisho wa Dunia.
Maana vita nchi hii itakuwa vita ya kidini na...
Moja kwa moja kwenye mada.
Tunao utamaduni wa kupokezana,akitoka Rais Mwislaam ,anaingia Rais Mkristo,lakini huyo Mkristo lazima atoke Kanisa Katoliki.
Sasa alipoingia Magufuli kanisa liliona lipo kwenye Comfort zone.
Madhaifu yote ya Magufuli hayakuwahi kuonwa na TEC na kanisa la Roma kwa...
Chadema huwa inakosea inapotumia kanisa kujijenga,maana unapofika uchaguzi CCM huwa inajua jinsinya kudeal na viongozi wa dini ambao dakika za mwisho huwa wanaisaliti Chadema.
Uchaguzi wa mwaka 2015 utakuwa Kanisa vs Watanzania
Wakati wa Kikwete walitia nyaraka hadi wakachoka ,Kikwete aliwapotezea wala hakuwapa Attention wanayoitafuta.
Aliwapuuza na akaongoza kwa mafanikio makubwa,hadi siku anaingia Bungeni Bunge zima lilisimama na kusema Im Sorry JK.
Maana yake Jakaya alikumbukwa baadavya kuingia Pilato Mkatoliki...
Tumia japo akiki zako kufikiri vizuri.
Ipo hivi
Ta zanzania imezungukwa na nchi 6
Malawi,Zambia Congo,Burundi,Rwanda na Uganda.
Nchi hizo zinaingiza tani mil 60 kwa mwaka za mizigo kutoka ulaya ,Amerika na China.
Nchi hizo zimatumia Bandari nne kuingiza mizigo.
Badari hizo ni Darban ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.