Search results

  1. Logikos

    Je, Wajua Kuwa Tanzania Hatuna Mkataba wa Muungano?. Kilichopo ni Makubaliano Tuu ya Muungano?

    Cha maana ni willingness or lack of.... Kama watu hawataki Muungano hata kama mna mkataba uliosainiwa na kusimamiwa na Malaika utakuwa hauna maana..., na kama watu wapo willing hata kama hakuna mkataba wala makubaliano wataendelea kuungana...
  2. Logikos

    Nilisema Makonda haendi mbali kwenye uenezi wa CCM na sasa kwenye ukuu wa mkoa pia itakuwa hivyo

    Kwenda mbali wapi unapotaka afike ?!!!! Kwa alipofika sasa hata akifa kesho alichofanya sio kidogo kutokana na alipota (unaweza kusema ni against the odds) School Failure, a boy from the village kutokukata tamaa na kujishusha na kupata connection za watu tofauti bila kutumia surname.... (Sio...
  3. Logikos

    Nini kinakwamisha kuongezeka kwa vituo vya Gesi asilia ya kwenye Magari?

    Hii inabidi bomba liende directly from the source (Piped) kama wanavyofanya Russia mpaka Europe Kuisafirisha kwa njia nyingine ni Gharama inabidi kuibadilisha kuwa LNG (Yaani hio gesi inakuwa compressed kwenye ubaridi hadi inakuwa kimiminika) hence kujaa nyingi kwenye container dogo - kwa...
  4. Logikos

    Nini kinakwamisha kuongezeka kwa vituo vya Gesi asilia ya kwenye Magari?

    Hivi mimi ndio sieleweki au wewe ndio hauelewi ? Watu watakubali vipi wakati kuna hizo changamoto ambazo nimesema ? Jambo ambalo unashindwa kuelewa CNG wala sio mfumo mpya duniani ila haujawahi ku-compete na Petrol sababu kuu mbili..., Energy density ya petrol na uhaba wa vituo vya CNG na hizi...
  5. Logikos

    Nini kinakwamisha kuongezeka kwa vituo vya Gesi asilia ya kwenye Magari?

    Vifurike wakati watu hawajafunga mfumo ? Vingefurika kama ingekuwa inatumia mfumo huo huo wala hauhitaji kuongeza kitu... Kwahio mtu atoe pesa yake afungiwe mfumo ambao unaongezea lidude kwenye gari yake na akitaka kuongeza gesi mpaka achome mafuta kutafuta kituo kilipo na mikoani havipo Je hio...
  6. Logikos

    Nini kinakwamisha kuongezeka kwa vituo vya Gesi asilia ya kwenye Magari?

    Sidhani kama umenielewa....... Equity Bank huenda wana Tawi moja tu katika mikoa mitatu tu... Mimi kama potential customer pamoja na kupenda huduma zao za kuweza kutoa kwa fingerprint huenda nisifungue akaunti nikiona kwamba huduma takuwa sipati kila mahali..., ila hio haimaanishi kwenye kila...
  7. Logikos

    Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

    Lakini wanaotoa mabango kwamba mama anaupiga mwingi kila kona au wale wanaosema amefanya miujiza hawaombi radhi ? https://www.jamiiforums.com/threads/siasa-mamboleo-mdomo-unapojaribu-kulidanganya-sikio.2123568/
  8. Logikos

    Nini kinakwamisha kuongezeka kwa vituo vya Gesi asilia ya kwenye Magari?

    Hii ni kesi ya kuku na yai nini kilianza.... Mfano mimi nina jiko la gesi kunifanya kwangu nichukue oryx au taifa gas ni kutokana na kuona kwamba ni wapi mtungi ukiisha nitapata huduma ya kubadilisha (vivyo hivyo kufungua akaunti bank nitauliza je kuna matawi mangapi, nikienda mikoani mna tawi)...
  9. Logikos

    Nini kinakwamisha kuongezeka kwa vituo vya Gesi asilia ya kwenye Magari?

    Performance sio sawa bado petrol ina energy density kubwa zaidi ila hilo ni immaterial iwapo bei itakuwa ndogo zaidi na vituo vitakuwa vingi kwani mteja ataangalia shilingi yake kama itamfikisha mbali zaidi (ila kwa kiwango kile kile / Ujazo Petrol inakufikisha mbali zaidi) Sasa kuweka mitungi...
  10. Logikos

    Nini kinakwamisha kuongezeka kwa vituo vya Gesi asilia ya kwenye Magari?

    1) Ni wangapi wana Mitungi kwenye magari yao ? 2) Ni Vituo vingapi vina CNG ? 3) Je ni magari mangapi yakuja tayari yana CNG au ndio kufunga funga mitungi kwenye Buti ? 4) Utaona kwamba namba moja inamtegemea namba 2 na mbili inategemea namba 1 Mwisho petroli ina energy density kubwa hivyo...
  11. Logikos

    Nini kinakwamisha kuongezeka kwa vituo vya Gesi asilia ya kwenye Magari?

    Such project inabidi iwe initiated na serikali.., Kwa mfanyabiashara ambaye anataka profit yake kwa uhakika na muda mfupi ni kipi kianze - Wateja wengi ili ajenge Kituo au Vituo vingi ili wateja wawe wengi.... Serikali kwake ni rahisi inaweza ku-force magari yake na taasisi zake yawe na CNG na...
  12. Logikos

    Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

    Ajabu kuna mpaka shule eti haina hata uwanja.., yaani shule (tena primary) unatoka ghorofani unaingia mtaani - sasa hapo unajiuliza huyu dogo mwenye kipaji atakuza vipi kipaji chake ? Labda kwenye corridor za shule au kwa nadharia..... Yaani hata ile mipango miji waliyoacha wakoloni tunazidi...
  13. Logikos

    Mpina ampongeza Rais Samia kwa kumuondoa January Makamba TANESCO, alihusika na ufisadi wa kutisha

    Nani alaumiwe kwa kumchagua ?, I know anatupa jiwe gizani.., ila kufukuzwa na kuhamishwa sio kitu kimoja...
  14. Logikos

    Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

    Watu hawajui kwamba kuna nguzo tatu katika maendeleo; Environmental, Social na Economical... Hatuwezi tukaangalia tu kupata faranga bila sehemu za ku-enjoy hizo faranga.., na open spaces na viwanja vya michezo angalau kila wilaya ni muhimu sana..., matokeo ya kutokufanya hivyo tunaweza kulipia...
  15. Logikos

    Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

    Point yangu ni kwamba kuwekeza kwenye michezo hata kama tusipopata hata sumni faida yake ni maradufu...., mambo ya afya..., nchi kama Brazil Timu yao ya Mpira na watu kama Pele wameweza kuitambulisha dunia nzima..., sasa hivi maisha magumu wana-siasa walaghai watu wanakwenda kwenye michezo...
  16. Logikos

    Bariadi: Wanafunzi wavunja masomo na kuzuia Msafara wa Mbowe, wampigia Saluti

    Nina hofu kubwa..., sababu kama alternative nao wanaona upuuzi ni sawa inamaanisha mimi kama mwananchi its more of the same to infinity.....
  17. Logikos

    TANAPA yafufua ujenzi hoteli ya kitalii Chato, CHADEMA wapinga

    Sidhani kama Upingaji au kukubali kwa CCM au CHADEMA kunafaa kuwa Kigezo cha kujenga au kutojenga... Cha kujiuliza Ujenzi huo utalipa na utachochea utalii ? Na je ni vema kutumia Kodi moja kwa moja kujenga au kuingia mikataba na wadau ndio wajenge kwa Ubia fulani.... Badala ya kuhangaika na...
  18. Logikos

    Bariadi: Wanafunzi wavunja masomo na kuzuia Msafara wa Mbowe, wampigia Saluti

    Ni mbaya sana and which makes me ask... mkichukua nchi haya yataendelea ya watoto kuacha masomo labda kuja kuwashukuru ? Binafsi nasema upuuzi hauna gamba wala gwanda popote pale ukitokea ni lazima tu-ukemee
Back
Top Bottom