Search results

  1. SUCRE MARIACH

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Wakuu nina simu nauza... iPhone 6 mpya kabisa ndani ya box with accesories from Apple Store - Virginia in US, I'm looking for $600 only also i have used iPhone 5C for $300, New in a box Samsung Galaxy Note4 $350 and New Samsung Galaxy S6 $500... Will meet the interested and seerious person...
  2. SUCRE MARIACH

    Iringa: Mahakama yamkuta askari aliyemuua Mwangosi na hatia ya kuua bila kukusudia

    Hao wote RCO/ RPC si ni malaika mkuu wangu... Bongo sheria ni kama wanaoteshwa tu mara leo hivi mara kesho vile basi ni shidaaa, Tuendelee kumuomba mungu kwa kweli
  3. SUCRE MARIACH

    Nani Alikuwa Bora kati ya Zidane na Ronaldinho?

    Mkuu umemalizaaaaaa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
  4. SUCRE MARIACH

    Love bite - black chocolate

    Nadhani atakapoamua kurudi basi abebe na kopo la rangi nyekundu kabisa maana kwa kumnyonya mwenzake kiasi akaelekea kupoteza fahamu kwa dakika hizo ni zaidi ya hatari haswaaa[emoji848]
  5. SUCRE MARIACH

    Love bite - black chocolate

    Unaambiwa rangi ya Dada ni kama Lupita Nyongo sasa kama sio kuuana ni nini haswaaaa[emoji848]... Huyo jamaa ni mwehu kweli kweli
  6. SUCRE MARIACH

    Kuzalia Marekani

    Kwa kifupi Nyani Ngabu anaelezea kitu ya ukweli kabisa na wala sio siri maana kuna mmoja nilimshuhudia kwa macho yangu na alifikia nyumba ninayokaa, Haikuchukua muda hata wa wiki 3 akajifungua na baada ya wiki nyingine 5 akasepa zake Bongo... Wapo wengi mnoooo wanaofanya huo mchezo haswa wapopo...
  7. SUCRE MARIACH

    Ligi ya Madam na Mchaga..

    Mkuu nimekusoma vere wele na hizi CODE zako yaani kaa humu humu kwa mwendo wa CODE mwanzo mwishooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. SUCRE MARIACH

    Deal ya Ali Kiba na Sony: Makosa yanayojirudia..

    Hebu ajiulize tu Vanilla Ice/ Mc Hammer/ Ja Rule/ DMX na wengineo wako wapi hivi sasa na wanafanya nini...
  9. SUCRE MARIACH

    Deal ya Ali Kiba na Sony: Makosa yanayojirudia..

    Nakaaya alitegwa ili atafunwe kama Shilole alivyotegwa na kuliwa akiwa Marekani kwa kudanganywa kuwa atafanya nyimbo ya pamoja na J'Lo... Rudi kwenye kumbukumbu, utanielewa vyema tu dogo
  10. SUCRE MARIACH

    Diamond Platnumz na Mafikizolo watinga bungeni

    Sidhani kama kwa umaarufu walionao Mafikizolo kule Bondeni wanaweza kutinga Bungeni kirahisi rahisi tu... Eti kwenda kutembea, Halafu nini kinafuatia baada ya hiyo ziara[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
  11. SUCRE MARIACH

    Muonekano mpya wa Chidi Benz baada ya kutumia unga

    Kavuna alichopanda na ni somo kwa wengine wote wanaotaka kujaribu maana ni balaa sana kwa kweli, Alianzia kwenye bangi na kuelekea kufaidi zaidi na huo unga...
  12. SUCRE MARIACH

    Daraja la Kikwete lililopo Mto Malagarasi

    Sasa Mkuu hiviiii huwa unajisikiaje kama kila siku misaada japo inayoonekana ni barabara tu na mengineyo hayaonekani kabisa yaani ukibahatika utakuwa umeona picha wanavyotia saini tu, Jiulize kwanini kila kukicha ni Wachina tu ndio wanaokuja kujenga barabara zetu badala ya mataifa mengine...
  13. SUCRE MARIACH

    Picha: Rais Kikwete akagua ujenzi wa Daraja Mto Malagarasi... Kikwete Bridge!

    Nimejitahidi kuyasoma kwa ubishi ubishi na nilichoona na kuelewa ni kwamba wana madai yao kutoka kiwanda cha chumvi kwa jina la Nyanza Salt HAWAJALIPWA kama kawaida ya Serikali kutowajali wananchi wake mpaka siku za shida kama kwa kipindi hiki cha Uchaguzi... Kila la kheri Mkuu Kiranga
  14. SUCRE MARIACH

    Daraja la Kikwete lililopo Mto Malagarasi

    Hiviiiiii hilo ni daraja au kidaraja? Hata magari hayawezi kupishana kabisa kwa kuwa ni 2 ways at least 4 ways will be a good plan na ndio maana foleni kila kukicha. That bridge is total the waste of money and time yaani hakuna la kujisifia zaidi ni ----- mtupu... 4 ways will be great and super...
  15. SUCRE MARIACH

    Zanzibar waizika ccm kabla ya uchaguzi

    Tusibweteke na tuongeze umakini kwa hawa vibaka CCM wasije kutudhuru kwenye masanduku ya kupigia KURA mpaka tushuhudie Maalim Seif kwa Zanzibar na Edward Ngoyai Lowassa wakiapishwa... Tuombe mungu maana hawa wabishi waliokengeuka na madaraka wakidhani ni wao tu ndio wenye uwezo na Kila kitu hapa...
  16. SUCRE MARIACH

    Hatutaki elimu ya bure ya Lowassa...

    Mtoa mada rudi ulipokuwa ukajipange upyaaaaa... Hausomeki yaani ni kama umekunywa maji ya chooni
  17. SUCRE MARIACH

    CHADEMA chali

    Bila shaka huyu atakuwa ni Mrs.Chin maana hajitambui kwa mgao wa elfu 5, doti ya khanga na kilemba... Hovyooo
  18. SUCRE MARIACH

    Niuzie Smartphone Yako Haraka

    Nina iphone 5 ina iCloud lock utatoa kiasi gani!?
  19. SUCRE MARIACH

    Nahitaji TV flat screen

    Habari za leo wadau wote wa JF... Nahitaji TV flat screen with original remote control, mwenye nayo naomba aniPM hapa hapa jamvini haraka akinifahamisha wapi ilipo, aina na gharama Kila la kheri
  20. SUCRE MARIACH

    Nauza Iphone mpya

    Yaani nachoka kabisa, kwa kifupi rangi zote unazozijua wewe zipooo... Twende sawa
Back
Top Bottom