Search results

  1. Z

    Kauli Cheshi za KAKOBE

    Baba Askofu Kakobe kasome Warumi 13 juu ya Kutii Mamlaka. 13:1-2: imeandikwa Kila mtu na atii mamlaka inayotawala, kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu, nazo mamlaka zilizopo zimewekwa na Mungu. 2Kwa hiyo yeye anayeasi dhidi ya mamlaka inayotawala anaasi dhidi ya kile kilichowekwa...
  2. Z

    Yuko wapi SHAMIM KHAN

    Ijumaa iliopita nilimwona akitembea kwa miguu akitokea upande wa Wizara ya Ardhi, Utumishi na Mipango. Mimi nilikuwa naenda upande wa Ferry naye akawa anavuka ile junction ya Luthuli na Kivukoni (Azania Front?). She looked quite fine and healthy. Ninaamini hajafulia. Kutembea kwa miguu naamini...
  3. Z

    Askofu kakobe atunisha misuli,aapa kutopitisha nyaya zozote labda Yesu aje

    Muhashamu Kakobe: The old saying ‘pride comes before a fall' is no idle old wives tale. It is pride that creates innumerable problems for both ourselves and the rest of the world. Yet, like the proverbial camel unable to stop eating thorns, it is our pride that enslaves us to continuing...
  4. Z

    Rais Kikwete anamhujumu waziri Magufuli?

    Si kweli. Hayo madai ya kitoto. Kama hampendi si anamtoa uwaziri tu. Tafuteni hoja nyingine.
  5. Z

    Sitta mzoefu wa kuvuruga Bunge?

    Majungu??? I dont think so. Hiyo ni historia. Kwani hayakutokea???
  6. Z

    Jaji mkuu akamilisha jengo la mahakama kwa fedha alizotengewa yeye!

    Wengi kumbe hamumjui huyu Jaji Mkuu. Huyu ni mwanasiasa. Hapa anacheza politics kwa sababu ana malengo yake ya kisiasa baada ya kustaafu mwisho wa mwaka. Sintashangaa mweiz Aprili akitoa hukumu ya kuruhusu wagombea binafsi. He is from Zanzibar. One time in the past aliwahi kugombea Urais kama...
  7. Z

    Nitamchagua Kikwete

    Ndege ya Uchumi utabiri wa sheikh Yahya umeanza kutimia. Mmoja wa wana kongamano wa MNF pale Karimjee alimponda sana JK na akasema nchi ina ombwe la uongozi tumemzika recently. Na mazishi yake yalihudhuriwa na viongozi wa juu. Mwingine kakimbizwa Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu. Napata picha...
  8. Z

    Mwanaidi Sinare Maajar - Balozi Mpya Marekani

    hilbert 126 shut up!!!
  9. Z

    Mwanaidi Sinare Maajar - Balozi Mpya Marekani

    Hata mimi nakubali Her Excellency Maajar is an astute diplomat and a learned lady. No doubt. Even the husband Sharif Maajar is a brilliant person. Hana makuu wala mbwembwe mmanyema yule
  10. Z

    Kauli za kisiasa zilizowahi kuwaudhi sana Watanzania

    "Wale wote wanaosema Tanzania Railways Corporation inatoa huduma mbaya can go to hell"--John Samuel Malecela alipokuwa Waziri wa Usafirishaji na Mawasiliano mwaka 1980. Kauli ilimgharimu akakosa ubunge. Hiyo nina ushahidi iliwaudhi Watanzania wengi. Hizo hapo juu sina ushahidi
  11. Z

    Tibaijuka Kumvaa Masilingi?

    Hivi mama Tibaijuka anajua full implications za kuacha kazi nzuri ya UN na kwenda kuwa mbunge?
  12. Z

    Tsere balozi mpya Malawi (Mpinzani wa Dr.Slaa)

    Baadhi ya wana JF bwana? Wacha nishangae kihehe "kha!?" Na kiwemba "Yabva!!?". It was Jeffrey Lord who said "The tendency to whinning and complaining may be taken as the surest sign symptom of little souls and inferior intellects". I certainly agree with him. I guess each one of you know...
  13. Z

    Hodi! Hodi!

    Tupo. Leta contacts zako.
  14. Z

    Haki Za Mashoga!!

    Ndugu Masanilo. Huyo Kofi Annan aliwahi kufumaniwa ofisini UNHCR Geneva, akimshughulikia mwanaume mwenzie. Sawa anaweza asiwe gay lakini bisexual. Tafiti
  15. Z

    Chama Kipya (CCJ) na Hatima ya CCM - lisemwalo...

    Ndugu mlalahoi your analysis ni swaafi. Ingekuwa ni assignment kwa ajili ya dissertation basi ningekupa A+. Nakubaliana na wewe mia kwa mia. Hiyo CCJ ni kama ulivyosema ni CCM B. Unajua nchini Tanzania wengi wetu tumekuwa sehemu ya kizazi na kwa njia hiyo we are bonded to the system of TANU/CCM...
  16. Z

    Nawasalimia

    I thank you all for your friendly gesture towards me. Stay blessed. Amen
  17. Z

    Nawasalimia

    Mimi ni mgeni ndani ya JF. Pamoja na ugeni wangu nataka kufahamishwa kwa nini JF Adminnistrator asiweke safu ya marafiki wa zamani kutafutana? Anyway pamoja na kuwasalimia natumia nafasi hii kumtafuta rafiki yangu aitwae Hassani Mwakawago. Tumepotezana takribani miaka sita sasa. Kama kuna mtu...
Back
Top Bottom