Search results

  1. Boflo

    Unataka kuwa mzuri na mweupe

    Mzigo umewasili, wahi sasa.. Pm kwa wahitaji
  2. Boflo

    PHD in Photography!

  3. Boflo

    Kuvaa nguo ya ndani ya mpenzi wako

    Je, unaweza kuvaa nguo ya ndani ya mpenzi wako?soma hii. nguo ya ndani inayoweza kuvaliwa na watu wa jinsia zote sasa imeanza kuuzwa madukani nchini Marekani. Hii ni baada ya kampuni moja nchini humo kuanza kutengeza nguo za ndani kwa lengo la kuhakikisha kuwa wapenzi wanaweza kutumia nguo...
  4. Boflo

    Mambo haya ni kweli

    1.You carry your girlfriend to club,after you marry her, you want her to stop clubbing! My broda, you need miracles directly from God himself. 2. You have tribal marks on your body, stretch marks and scars yet you still want a tatoo... Aah!My friend, you know you gonna be a zebra, right? 3...
  5. Boflo

    Respect Every Male in Your Life

    For the 1st time , someone has written something good for men also. ======== Who is a MAN A man is the most beautiful part of God's creation. He sacrifices his chocolates for his sister. He sacrifices his dreams for just a smile on his parents' face. He spends his entire pocket money on...
  6. Boflo

    Are you pooping Wrong?

    .........
  7. Boflo

    Nimevunja ndoa ya rafiki yangu

    Nina rafiki ambae nilisoma nae primary mpaka secondary miaka ya nyuma, Nilibahatika kuonana nae town miaka 2 ilopita, akani introduce kwa mkewe. Jamaa alikua anapenda kuja kwangu, hua tunaenda kuangalia mpira, na mara nyingine kwa mambo ya ki business. Mara nyingi huwa namwambia arudi home...
  8. Boflo

    Wanaume wazuri

    ........
  9. Boflo

    Kitendawili cha picha

    Nani huyo..
  10. Boflo

    Zawadi za Birthday

    .......
  11. Boflo

    Mambo 22 ya kijinga m'mme hutakiwi kuyafanya...

    ........
  12. Boflo

    Martin Kadinda na mkewe, mashallah

    ........
  13. Boflo

    Wamama acheni kuuza mabinti

    Nimekutana na hii wana JF nikaona bora niilete kwenu nipate nasaha. Kuna mdada mmoja nilikua nafahamiana naye kitambo about 8 years ago, aliwahi kuzaa akiwa mdogo(18years) Wiki iliyopita nilikutana naye sehemu tukaongea na akaniomba namba yangu nikampa. Majuzi kanipigia simu akaniambia jambo...
  14. Boflo

    Chagua gari Sweetie...

    Ilikuwa Ijumaa mida ya saa 10 jioni, mzee mmoja aliingia na kibinti kizuri kwenye yard ya magari mapya. MZEE: Chagua gari unalotaka mpenzi....kabinti akazunguka yard yote mwisho akachagua Verrosa metallic . BINTI: Mi naitaka hii MZEE: Hakuna tatizo kabisaaa, mtoto mzuri kama wewe lazima...
  15. Boflo

    Wengi wamefiwa na Baba zao

    Nimekutana na wasichana wengi kuanzia 18+ wazuri sana. Wanatoka kwenye familia zenye uwezo, nikitoka nao huwa naulizia wazazi wake na hunijibu kuwa baba amefariki. Kwa kweli ni huzuni, nimeamini kuwa msichana asiye na Baba ni mwepesi sana.
  16. Boflo

    Kifo cha Ughaibuni

    Nimesikia mara kadhaa, mtu anaenda Marekani kutembea, kutibiwa, nk, akiwa huko anafikwa na mauti, hapo utasikia watu wakichangishana fedha arudishwe nyumbani na gharama yake ni dola alfu 20 mpaka Tz Nina maswali 2 yananitatiza 1-Huyu mtu alokufa wakati anakwenda Marekani anakua na return...
  17. Boflo

    Kapewa saa 24 ahame

    We have been given 24 hrs to move out of our office because we are Gays , the Landlord came to our office this morning and told us that we can not continue using the office because we promote unacceptable behavior, he also stated that a number of Gay people have been visiting our office. We...
  18. Boflo

    Kung'ata meno kunaambukiza Ukimwi?

    Kuna mdada 1 niliwahi kutoka naye kama miezi 6 ilopita, nilitumia condom, kabla ya tendo alininyonya uume, wakati ananyonya alikua akiung'ata ng'ata sana mpaka nikawa nasikia maumivu. Kuna siku nilikutana na mtu ambaye anamfahamu, akaniambia kua yule dada ana ukimwi na kama ninataka uhakika...
  19. Boflo

    Eti wanaume wa kabila gani wamejaaliwa neema za mwenyezi mungu?

    Kisa kifuatacho nimepewa na rafiki yangu..... Jamani niwape kisa changu leo. nimekutana na kichaa mtaani amevua suruali kakaa chini anachezea dudu yaani hiyo kitu imesimama ni ndefu nene balaa. mwe nikajisemea moyoni Mungu angeihamishia tu kwa hawa kaka zetu wenye vibamia mweh. mawazo hayo...
Back
Top Bottom