Udhalikishaji mwingine ambao Iran hawezi kutuambia nivile jamaa walizima mifumo yao ya kiulinzi kiasi Waka anza tumia manual way kumdungua adui. Israel ni ma genius
Taifa letu linaelekea kwenye uchaguzi hapo mwakani. Ni rai yangu kwa bataza la usalama wa Taifa kutafakari kwa kina kuanzia mchakato mzima wa uchaguzi utakavyokuwa mpaka kupata matokeo.
Vipo viashiria ipo haja kwa maamuzi magumu kufanyika pasipo kuangalia sura au jinsia ya mtu au umaarufu wake...
Upo sahihi mtu anakuchapa kwenye ubalozi wako nakuuwa General wako Muhim that is meaning anajuwa vile atamalizana na wewe Iran hii vita anaenda poteza na kufa kabisa kiuchumi nahuwo ndio mpango let us keep cool
Iko hivi ktk maswala ya kivita sio ukubwa wa nchi au wingi wa watu ulio nao ila niuwezo wa kivita pamoja na ujasusi.
Ktk kile kilicho onekana sio kitu cha kawaida Israel walishambulia sehem ya ubalozi wa Iran ktk Nchi ya Syrian. Naomba niwakumbushe ni sehem ya ubalozi sio ubalozi wote na jinsi...
Wataalam wa ma swala ya kivita wanasema hayo madude ni cha mtoto yatazimwa juu kwa juu Israel wako vizuri kwenye uwanja wa vita ndio maana wamefanya tukio wamalize kaz yaani Iran na Urusi watafurahishwa just keep cool men... Niliandika Israel ataishangaza Dunia Soo kuwa mpole
Naungana na wewe ktk vita itaifanya Iran kupotea kabisa ktk Ramani ni kurusha japo kaboom kamoja Israel kiufupi sio Israel tu ila mataifa yote ya west yanaham kuipoteza Iran kwa sababu ndio chanzo cha shida middle East. Mbaya zaid ndio anaye mpa kiburi Putin yaaniiii kitanukana
Nilishangaa kuona ila sasa Nina amini Mungu alisema nami 15 years back. Yakwamba vita kubwa ya Dunia inakuja na leo nashuhudia jambo Hilo.
Siandiki sana ila tusali jambo zito sana laweza ikumba Dunia na kuleta maafa makubwa kwa binadam. Ambayo hayajawahi tokea.
Wanausalama wamagharibi...
Kila mtu atasema lake ila jini la majanga yote ni katiba. Katiba ndio chanzo cha haya na mara zote naikumbuka kauli ya Mh Kikwete wakati Fulani bungeni kwenye muswaada wakupunguza madaraka ya Rais ambao CCM walikataa fanya mabadiliko ila JK kwa ungwana Wake akawaambia "Mimi kama Rais sijaaamua...
1 Israelites=1000 Palestine 😭😭😭 hii ni toka miaka na miaka maelfu ndio maana haya Mazayuni sio yakuchukua poa ukiwagusa.. kiukweli mpaka vita ikwishe Palestine watakufa wengi sana nihuzuni na kilio kila nyumba.😭😭😭
Mungu akulinde Jamhuri yangu na watu wangu wa Tanzania.
Mungu Tukumbuke watoto wako na Uzao wa Taifa lako siku moja tusije kuwa manamba ktk Taifa letu. Baba yetu na Rais wetu wa kwanza aliona leo na akalia sana na kumbukizi zinatuambia akikaribia kuipumzisha roho yake akasema Anatuombe wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.