Hata mimi sijaona ndoa ambayo haijapitia uchumba, unajua watu hatuelewi maana halisi ya uchumba...Uchumba ni maisha ambayo yanawakutanisha wawili kuweza kufahamiana kitabia,mila,desturi na familia ya kila mmoja wao kati yao ndio hupelekea mmoja wapo kuridhia na kupeleka posa..Lakini uchumba wa...
Hayo ni matatizo ambayo watu wengi wanaoingia katika ndoa wanakutana nayo. huwezi leo hii unaenda mjini unakutaka na binti halafu eti unatangaza ndo.....humjui yeye...!!!kwao huwajui....!!! ukimkuta tasa inakuwa yale matarajio yako umeyapoteza ndio maana huyo jamaa alipopewa option ya kuzaa na...
Huu ni upotevu wa maadili na pia naweza kusema ni matatizoau athari za kisaikolojia kwani ukiwa kama mtu mzima, mkeo mmeona ili muweze kubarikiwa mambo yoote ya ndani. Ni kitu gani ambacho wewe kama mume hujui kuhusu mwanamke?Ukizingatia wanawake wote wako sawa kama mkeo kimaumbile. Huyu...
Hilo hata mimi nilikuwa naliwaza kwa muda sana, ila nafikiri mara nyingi mtu akihamia dini nyingine huwa kuna imani fulani imemvuta kuwa kule. na hivyo hujikita sana kiimani ili waumini wengine nao wavutiwe kuelekea huko alikohamia sasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.