Search results

  1. Ighombe

    Kumpa hela / matunzo mwanamke ambaye hujamuoa ni sawa au sio sawa?

    Ni kweli wanawake hawajui kushukuru. Mimi sijawahi kupewa shukrani kabisa na mwanamke.
  2. Ighombe

    Ndoa ni ulimwengu mwingine

    Andiko/maoni Bora kuhusu mahusiano baina ya mke na Mme 2023 (Jamii forum SIHAMI)
  3. Ighombe

    Ndoa ni ulimwengu mwingine

    KWANI Mama yako hawezi KUWA na hiyo Hali Kwa baba yako?. Unajuaje undani wao. Inawezekana baba na mama wana ugomvi kumbe baba alimfumania mama Mahali. (Watakueleza Hilo?).LAKINI mkiwa na mama Kila siku anamponda baba, na nyie WATOTO mnakariri baba mbaya! Au mda mwingine mama anamdhulumu baba...
  4. Ighombe

    Je ni kweli Kuna mzee wa kimila wa kipare anafanya uganga huu?

    Historia (vitabu VYA mapokeo) hailezi hivyo! Uwongo ukihubiriwa muda mrefu unakuwa ukweli FUTA hiyo dhana (Concept) Au uje na chanzo (Source) Cha hadithi yako hiyo! Mpare Og!
  5. Ighombe

    Je ni kweli Kuna mzee wa kimila wa kipare anafanya uganga huu?

    Hizo zote ni hadithi TU.... Binadamu Hana uhakika na maisha baada ya kifo!!.... Mwisho WA MAARIFA ya kisayani ni mwanzo WA Imani mbali mbali mf. Upagani, ukristo, uislamu n. k
  6. Ighombe

    Hodii, hodiii humu ndani

    Ha ha ha humu jf Kila mtu msomi,!
  7. Ighombe

    Mtu akifa anaenda wapi?

    Mambo ya Imani HAYO... Inaweza ikawa kweli au SI kweli. Binadamu mambo Yao yote yasiyo na majibu wanayapeleka kwenye Imani. Iweje Ng'ombe ambaye ana damu (yenye cell kama yako) akifa asiende Mahalia ila wewe uende?!!!!!
  8. Ighombe

    RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

    KIRANGA Apewe maua yake amechangia Sana kuelimisha mambo mengi ya Science (umemsahau?)
  9. Ighombe

    Kupenda kwangu kukaa mwenyewe kunafanya asilimia kubwa ya watu wanaonizunguka waone siwapendi

    Mimi pia Sina tabia ya kujichanganya na ikitokea nakaa muda mfupi Sana na kuondoka. Huwa naamini kuwa binadamu akifanya urafiki na wewe KUNA kitu anakitafuta kwako. Akipata anachokitafuta hukimbia! Hujawahi kuona mtu mwenye fedha anakuwa na MARAFIKI wengi na Kisha akifilisika anabaki peke yake?
  10. Ighombe

    Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

    Kiwanda Cha kuziunga kilikuwa bongo kimekufa.
  11. Ighombe

    Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

    Soda ZA POTELO, Raba za DH, Mafuta ya SHANT, BAISKEL YA SWALA.
  12. Ighombe

    Tujiandae kwa hali ya ubaridi kuanzia leo hii Julai 8, 2023

    UMBALI KUTOKA DUNIANI HADI KWENYE JUA NI 8 LIGHT MINUTE NA SIO 5 LIGHT MINUTE.
  13. Ighombe

    Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Mwalimu WA degree hajaandaliwa kufundisha watoto WA primary hata hayo ni maigizo.Mtamtafuta mchawi WA Elimu hamtampata!
  14. Ighombe

    Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    We jamaa akili zako haziko sawa.Regulator WA uwezo WA Walimu ni NECTA NA NACTE .Vyombo viwili hivyo havikuweza? Au mwajiri haviamini?Huko KUNA rushwa? Acha kuchanganya Siasa na mambo yanayohitaji utaalam.Interview zinazofanyika Kwa Walimu WA private schools ni mbinu ya mchujo kukwepa...
  15. Ighombe

    Ombi langu kwa wizara ya Elimu : Futeni topic ya "human Evolution" katika somo la history kwani ni uongo wakuchanganya vichwa vya wanafunzi

    Kasome habari za space! Na formation of stars.Utaona Dunia (sayari) ilitokea baada ya nyota kufa na ilikaa kipindi kirefu bila viumbe then ilipita ktk kipindi kirefu Cha evolution ndio viumbe wakatokea.Viumbe ukiangalia sana wanatokana na gases .ndio MAANA nikasema Sisi ni CARBON FORMED...
  16. Ighombe

    Ombi langu kwa wizara ya Elimu : Futeni topic ya "human Evolution" katika somo la history kwani ni uongo wakuchanganya vichwa vya wanafunzi

    Binadamu anapoteza muda mwingi sana kujichunguza kuwa yeye ni nani.Sayansi inasema Sisi ni CARBON FORMED CREATURES! ,DINI INASEMA TUNATOKANA NA ADAM NA EVE HISTORIA Inasema binadamu WA kwanza anatokana na jamii ya nyani.Ni kosa kuamini mambo mawili au matatu Kwa wakati mmoja Mimi NAIAMINI...
  17. Ighombe

    Ombi langu kwa wizara ya Elimu : Futeni topic ya "human Evolution" katika somo la history kwani ni uongo wakuchanganya vichwa vya wanafunzi

    Una uhakika GANI na huo umri?Ulikuwepo.Zamani nikiona picha ya Yesu nilifikiri ni yeye Kwa uhalisia kumbe ni drama !Watu weupe wanatuzidi sana!
Back
Top Bottom