Ahsante Mhe. WAZIRI Mkuu Kwa kuhimiza matumizi ya Lugha yetu ya Kiswahili kwenye HUDUMA ZA kijamii haswa ZA utoaji Haki kama vile mahakamani Polisi n.k, hayo ni maeneo muhimu sana.
Watanzania wanatafuta haki zao kila kukicha wapo mahakamani hivyo ni Muhimu sana Mahakama zetu kuanzia wilayani...
Bahati nzuri WAZIRI aliwahi kuwa mtumishi wa umma hivyo anaIjua figisu zote zinazo chezwa ndani, nadhani alikuwa Mahakama.
WAZIRI akishirikiana vyema Na Prof. Elisante hakika wanaweza wakafanikiwa kurekebisha uozo na unyanyasaji ulio jilita ndani Kwa ndani.
Ni jambo la kushukuru angalau Kwa mara ya kwanza WAZIRI Mwenye dhamana amebaini hilo tatizo la kupigwa nyundo watumishi wasio na godfather.
Angalau matumaini Kwa wanyonge yanaonekana.
Pongezi nyingi Kwa MHE WAZIRI Mungu azidi kumpa maarifa Na akili nyingi ZA kupambana Na waovu bila woga
Duh!
Yaani mtumishi ana nyimwa haki yake ya kujihamisha Kwa ajili ya ugonjwa na akiwa na nyaraka zote ZA kitabibu! Hadi ana kufa! Aisee hao sio binaadamu ni zaidi ya wanyama, na wanapaswa walaaniwe na ikiwezekena washitakiwe.
Mambo kama haya yasifumbiwe macho, huu ni unyanyasaji wa kiwango...
Ni ukweli usio fichika kuwa kuna tatizo kubwa la watumishi wazuri kiutendaji kuonewa na viongozi wao wa juu, uonevu ni mkubwa sana, watu wana umizwa sana, kuna viongozi miungu watu KAZI yao ni kuwa vunja moyo watendjibwazuri.
Kuna uonevu na fitina kubwa kati ya viongozi wenye dhmana na...
Mkuu acha kuendekeza udini, usiangalie nafasi za hao wateule 3 au 4 tu halafu ukahitimisha.
Mimi ni mkiristu lkn naweza kukwambia kuwa ukiangalia kiuhalisia ktk mhimili wa Mahakama wakristu ndio wengi zaidi, angalia idadi ya Majaji, Wasajili, Watendaji, Mahakimu n.k, viongozi na ambao sio...
Mkuu zandrano umekuwa mzalendo wa kukipigania kiswahili kuliko hata wenye dhamana kama vile BAKITA au TUKI.
Nakuunga mkono, Matumizi ya Lugha ya kiswahili ni Muhimu sana ktk kutoa haki za watanzania.
Sheria ilipitishwa Na Bunge kuwa Ruksa sasa Kwa Majaji wetu Na mahakimu wetu kuandika Na kutoa...
kwa kuwa Mahakama zote za Mwanzo nchini zinatumia Lugha ya Kiswahili, sasa sioni sababu Kwa nini Mahakama za Wilaya, Mikoa, Mahakama Kuu na Rufaa zisitumie Lugha ya Kiswahili wakati ni watanzania walewale walio anzia Mahakama ZA mwanzo ndio hao hao wanao endelea kutafuta Haki zao ktk Mahakama...
Kwanza Pongezi Kwa Mtendaji Mkuu wa Mahakaman pamoja na Jaji Mkuu Kwa kujenga majengo mazuri ya kutoa haki lkn bado Kilio CHA watanzania wengi ni pamoja na matumizi ya Lugha yao ya kiswahili.
Haki itolewe Kwa lugha ya Kiswahili na sio vinginevyo.
Naamini pia Moja ya sababu ZA ucheleweshwaji wa...
Viongozi wetu wabunge, Madiwani pamoja na wenyeviti wa mitaa wanapaswa wawe imara na Makini sana.
Kuna hatari au kuna uwezekano kabisa kuwa ujenzi wa barabara hizi ZA mitaani zikajengwa maeneo ambayo kuna viongozi wenye ushawishi na maeneo yasiyo na mtu au watu muhimu basi yakaachwa solemba...
Wananchi wa wilaya ya ubungo kata ya kiluvya gogoni/polisi/hondogo wanataka kuona barabara zinatengenezwa sio maneno.
Kuna mchepuko wa barabara ya TANROAD unatokea Kiluvya Gogoni/POLISI unapitia Kwa Kawawa unatokea Kiluvya Kwa Komba, huo ni mchepuko muhimu sana na upo chini ya TANROAD...
Kulikoni TARURA WILAYA mpya ya ubungo mbona mmesinzia?!
Tangu billion 14 zilipo tolewa kwa wakandarasi Kwa ajili ya kuanza kazi ya ujenzi wa barabara ZA mitaa, wananchi wanaona kimya kimetanda! Kulikoni!
Maeneo ya pembezoni mwa mji kama vile maeneo ya Kiluvya POLISI GOGONI hadi HONDOGO...
Usijidanganye wala usijipe moyo.
Usiukatae ukweli.
Mbowe ni mtuhumiwa wa ugaidi, Na huenda akikutwa Na hatia Na akafungwa jela au akaachiwa, yote hayo yanategemea ushahidi.
Ningemshauri Mbowe kwanza ang'atuke uenyekiti wa chama, maaana chama kimemuifia mikononi mwake...,,sijui nani tena atamsikiliza ktk kipindi hiki.
Hivi Mwenyekiti unapoteza Ubunge ktk jimbo lako bado tu husomi picha kuwa hutakiwi?!!
Wanachama walisha mpuuza kitambo, kina Mdee, Matiko, Bulaya nk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.