Mkuu wangu,
Wenye uwezo wakikusoma inaonyesha wazi wewe ni mtu mmoja na unabadilisha majina tu, unataka kumdanganya nani hapa JF?
Tumieni huo muda kusoma badala ya kubishana juu ya mambo ambayo hayawaongezeeni tija kabisa.
Pia kubadilisha majina ili kujipigia vigelegele mwenyewe sio...
Mbona kila mwaka CCM wanashinda Ubungo? Ni Mrema na Lamwai tu waliwaweza Ubungo.
Tatizo nionavyo mimi sio wananchi kutokuelewa bali ni upinzani kushindwa kuelewa wananchi wanataka nini.
Itaongeza ajira. Itatengeneza ajira kuimarisha sekta za ujenzi, madini, kilimo, utalii na huduma za jamii. Itaweka kipaumbele kwa sekta za uchumi zinazotengeneza ajira kwa watu wengi mfano kilimo. Kwa kuwa kipaumbele kimewekwa kwenye elimu, CHADEMA inaamini kuwa shule nyingi zaidi zitajengwa...
Kutoa ahadi kila mtu anaweza, kigumu ni kuonyesha hiyo mipango yote ita cost pesa ngapi na zitatoka wapi?
Ahadi pekee zisizo na kipimo chochote ni ngumu kweli kuzipima.
JK alisema ataunda kazi milioni moja, tunamkamata kirahisi maana aliweka namba na ni tofauti na mtu akisema ataongeza ajira...
Lakini kule kwetu Kyela na kule kwa wajukuu wa Mzee Mwanakijiji kule Katumba, watu wanalitumia hilo ziwa miaka na miaka bila ya matatizo yoyote.
Sisi tunavua mbasa, mbelele na magege bila matatizo yoyote. Badala ya kuongelea utata wa mpaka ambao haumsumbui mwananchi yeyote, labda...
Kaka mwafrika ushauri wa bure pumzisha akili yako na itumie kwa yanayojenga na sio kubomoa.
Una haki ya kuniita mimi jina lolote ulitakalo, heri ya mwaka mpya na mwenyezi akuzidishie busara na kukupungizia ujinga.
Kaka Sikonge,
nakubaliana na mengi uliyoandika hapo juu. Hivi unatoka kijiji gani Kyela? Naona unatuchanganya mara kyela mara sikonge. Mimi mtu wa itete karibu kwa mzee Mwanjala. Kwenye hii thread sitatumia jina langu la kawaida maana nisije nikazua ugomvi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.