Search results

  1. I

    Lowassa asafirisha watu kutoka mikoani kuongeza idadi ya watu wakati wa kuchukua Fomu

    Form ni kesho kuanzia saa 3 asubuhi. sasa hao watu wanapandishwa ndege ama?
  2. I

    Kikao cha Kamati ya Maadili CCM chaanza usiku wa leo (Julai 03, 2015)

    G Sam hivi ratiba ya vikao iliyotolewa kipindi kile ilikuwa geresha tu ama?
  3. I

    Taasisi ya Kiislamu ya Imamu Bukhary: Lowassa hafanani na Mtume Muhammad, Madabida awajibishwe

    hicho kikao cha waislam wote umekifanya lini na kikaibuka na hiyo kauli?
  4. I

    Mkutano wa kuhitimisha Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM mikoani, A. Kinana jijini Mwanza - June 28, 2015

    tatizo linaanzia pale ambapo Mwenyekiti wa chama ndo Rais wa nchi. ni nani anaweza mkorokea mwenyekiti wakati ndiye Rais. ilitakiwa hivyo viti viwili wavitenganishe.
  5. I

    Imedhihirisha mgombea Urais CCM ni Prof . Mwandosya

    Mara Makongoro, wengine wanasema Judge Augustiono. kila mtu naona anatoa mawazo yake. Tusubiri mpaka mwisho tujue ni nani. Hivi ni kwanini sisi watanzania tunaamini kuwa Rais lazima atoke CCM?
  6. I

    Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

    kuna channel yeyote Azam TV itaonesha huu mtanange?
  7. I

    Mechi ya Barcelona na Juventus leo Juni 5, 2015

    sorry bhana. Hivi Azam TV wataonesha huu mtanange?
  8. I

    Nchi yetu inaitwa Tanganyika

    inategemea hilo swali unamuuliza nani maana utapata majibu tofauti kulingana na mtu mwenyewe unayemuuliza. kimfano ukimuuliza Wassira au Ole Sendeka watakuambia siyo nchi wakati Mchungaji Mtikila atakujibu kuwa ni nchi.
  9. I

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    hahahahahahaha
  10. I

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    tunaomba mtujuze matokeo ya mwisho ya match zote mbili. Azam vs Oljoro & Simba vs Coastal Union
  11. I

    Waliomchagua JK/5ML,walopendekeza SEREKALI 3/LAKI 4 <60%>

    nafikiri ulikuwa unamaanisha 2010 ama?
  12. I

    Waliomchagua JK/5ML,walopendekeza SEREKALI 3/LAKI 4 <60%>

    unamaana mwaka 2010 tulikuwa million 7 ama? tupe details wewe mwenye nazo kuwa tulikuwa wangapi?
  13. I

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    kwani Arsenal bila Wenger haiwezekani? Kila mwaka madudu tu
  14. I

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    nashukuru, even though mi siyo Madam ni Sir
  15. I

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    hivi kwani Arsenal bila Wenger haiwezekani?
  16. I

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    sorry hivi Dida ni majeruhi ama?
  17. I

    Live updates Coastal Union na Yanga Afrika Mkwakwani Tanga.

    wapi Athumani Iddi 'Chuji'
Back
Top Bottom