Search results

  1. Tegelezeni

    Swali hili sio muhimu kumuliza mpenzi

    The past defines the future If you don't know history you can't understand the present/future A girl who has slept with bunch of men before you date her will continue the trend because her body can no longer adapt to a single diick. Like they say Once a soldier always a soldier
  2. Tegelezeni

    Nani anahusika na sumu alioyolishwa Kundambanda

    Picture or he is not exist
  3. Tegelezeni

    Dr. Leaky Abdallah, Shafih Dauda, Edo kumwembe na Geofrey Leah nani mchambuzi bora wa soka?

    Mimi najua kwamba Dk. Licky Abdallah anamiliki kampuni ya uwindaji wa wanyama pori
  4. Tegelezeni

    Mwenye uzoefu na huduma za Equity Bank Tanzania

    Naomba mwenye uzoefu kuhusu huduma za Equity Bank Tanzania katika maeneo yafuaayo: 1. Huduma kwa wateja (Customer Care) 2. Huduma ya kuweka na kutoa fedha kwa kutumia Bank Taller 3. Huduma ya ATM 4. Huduma ya Mikopo 5. Huduma ya kufungua akaunti
  5. Tegelezeni

    Jengo la Tigo Makao makuu (Derm House) lipo hatarini kudondoka

    Niliwahi kusikia jina la Mr. Mringo likihusishwa na haya majengo mawili. Huyu Bwana aliwahi kuwa Diwani maeneo kama si Kimara ni Mbezi, namkumbuka sana wakati wa vile vipindi vya TV vya Kiti Moto alikuwa akiishambulia sana serikali na kuwabana watendaji wake wanaoonekana kuzembea, lakini...
  6. Tegelezeni

    Ishu ya mwingira yafikishwa mahakamani

    Unaweza kushangaa jinsi wafuasi wake watakavyomtetea humu.. Ndio maana huwa nawafananisha na wale wafuasi wa mchungaji Joseph Kibwetere wa nchini Uganda, naamini kuna siku huyu nabii Mzinifu Mwingira atawafanyia kitu mbaya waumni wake. Yaani wako kama majuha tu.
  7. Tegelezeni

    Nilipoamua kuwa MPAGANI nilikuwa na sababu

    Nadhani wewe hujaelewa mada, mimi nazungumzia dini za mapokeo wewe unazungumzia historia ya wachaga.... Wapi na wapi......!
  8. Tegelezeni

    Nilipoamua kuwa MPAGANI nilikuwa na sababu

    Inabidi ukubali kwamba wewe ni mtumwa
  9. Tegelezeni

    Nilipoamua kuwa MPAGANI nilikuwa na sababu

    Kweli mkuu. Ni wachache sana wanoweza kuuona ukweli huu. Mada za aina hii huwa watu wanazikwepa sana kwa sababu ya sumu hiyo waliyolishwa. Kuna matatizo mengi sana yaliyoletwa na hizi dini za mapokeo na wengi tumesoma hata huko shuleni, lakini tunaambiwa ni historia na yalishapita tuyasahau...
  10. Tegelezeni

    Nilipoamua kuwa MPAGANI nilikuwa na sababu

    Mkuu sijasema dini yangu haimjui Mungu. Usininukuu vibaya.. Hata dini yangu ya sili inamjua Mungu na ni yeye pekee ninayemuabudu kaara na matambiko ni njia tu ya kuweza kuwasiliana naye na ndio maana sisi tunamuita Mlungu kama wamasaai wanavyomuita Ngai.
  11. Tegelezeni

    Nilipoamua kuwa MPAGANI nilikuwa na sababu

    Zamani enzi za ujima kabla ya ujio wa hizi dini za mapokea mababu zetu waliishi kwa amani na upendo huku wakiheshimiana na kuvumiliana. Walikuwa wakiamini kwamba binadamu wote ni sawa na kila mmoja alikuwa akimthamini mwingine siyo kwa kile alicho nacho, bali kama binadamu aliyekamilika...
  12. Tegelezeni

    "Mama yangu yu mgonjwa kweli na anatakiwa kupelekwa INDIA,Je utanisaidiaje?"

    Bora nawewe umenisaidia, maana nimewashangaa hata wanaume wananishupalia. Kuna wanaume wa ajabu sana hapa JF
  13. Tegelezeni

    "Mama yangu yu mgonjwa kweli na anatakiwa kupelekwa INDIA,Je utanisaidiaje?"

    mwaJ sisi wanaume mnatuonea sana, yaani mkituona mnatufananisha na ATM Machine, kila siku mnatafuta mikakati ya kutuchuna
  14. Tegelezeni

    "Mama yangu yu mgonjwa kweli na anatakiwa kupelekwa INDIA,Je utanisaidiaje?"

    kama tuki do hapo naweza kufikiria lakini hata bado kumgusa keshanijia na ankara ya matibabu ya mama yake! na asiye mzinifu hapa JF na awe wa kwanza kunirushia jiwe Kwanza sijaomba msaada bali nimeanzisha huu uzi kuonyesha mshangao wangu kwa wanawake wa siku hizi , yaani hawana hata huruma...
  15. Tegelezeni

    "Mama yangu yu mgonjwa kweli na anatakiwa kupelekwa INDIA,Je utanisaidiaje?"

    Ah wapi mie nawapelekaga gest za Sinza, wekundu wawili tu nasongesha, mbwemmbwe za nini kwa starehe ya siku moja
Back
Top Bottom