Search results

  1. mzungu jw

    Nahitaji Mashine Ya Maxmalipo Au Selcom Arusha

    Naitaji Mashine Ya Max Malipo Au Selcom Au Anaye Jua Ofisi Zao Kwa Hapa Arusha Na Anaeuza Laini Ya M Pesa Kwa Bei Poa Arusha
  2. mzungu jw

    Natafuta Mdada Wa Miaka 18-21 Wa Kuwa Rafiki Yangu Arusha

    Natafuta Msichana Wa KubadiliShana Mawazo Sifa Awe mwanaharaki Mpenda Maendeleo Na Anaeichukia Ccm Na Awe Anaishi Arusha Ani Pm # Zake
  3. mzungu jw

    Trekita La Kulimiwa Shamba Lako Kuazia Heka 10 nakuendelea

    trekita aina ya new holland td80d inatoa huduma ya kulimiwa mashamba kwa bei powa kwa wakulima wa 1;malinyi Ifakara 2;mvomero 3;kiteto 4;tanga 5;chalize Kwa Sasa Tupo Tanga Pongwe Wasiliana Nasi Kwa Namba 0689446433
  4. mzungu jw

    CHADEMA Kata ya Osunyai kufanya uchanguzi wa Kata leo

    Chama cha demokrasia na maendeleo kata ya osunyai leo katika ukumbi wa rock rose uliopo ngusero chini ya ngome ya chadema tunafanya uchanguzi wa viongozi wa kata wanaoenda kuifuta na kudelete kabisa ccm kata ya osunyai jr muda ni kuanzia saa 4 asubuhi. W/viti,makatibu, wajumbe wa mkutano...
  5. mzungu jw

    Shule ya sokoni 1 yanusurika kuteketea na moto leo usiku wa saa 2

    mida ya saa mbili usiku shule ya sokon 1 imenusurika kuteketea kwa moto baada ya moto ulio sababishwa na kuni zilizo kuwa hazijazima vinzuri,zilizo kuwa zimeifaziwa kwenye darasa lenye madawati kuwaka na kuteketeza madawati na baadhi ya nyaraka za shule. fire walishindwa kufika eneo la tukio...
  6. mzungu jw

    naitaji batter za tecno na memory card za jumla arusha

    mwenyekujua duka au mahali tofauti na nondozi,dolla com na kwa mgosi aniambie nitakapo pata better na memory card kwa bei powa ya jumlaa
  7. mzungu jw

    CHADEMA: matokeo ya kura za awali za mtata mgombea wa mtaa wa ngusero sombetini haya hapa

    chama cha demokrasia na maendeleo kata ya sombetini jana imemaliza uchanguzi wa kura za awali za kumpata mgombea wa m/kiti wa mtaa wa ngusero kwa tikeki ya chadema ambao ulifanyika kaika ofisi ya kata ya sombetini...
  8. mzungu jw

    Mkutano wa chadema haydom kesho wa kurudisha kadi za ccm na kuvaa gwanda na mh urudisha formu

    Nimkutano utakao anza saa 1 asubuhi kwenye viwanja vya uwanja wa ndege kwa kuchagua viongozi wa kijiji cha uwanja wa ndege na baadae kuelekea viwanja vya serikali vya haydom mbulu manyara saa 8 mchana kuwatambulisha viongizi wa s/mitaa kwa tiketi ya chadema usikose update zote utazipata hapa
  9. mzungu jw

    Afisa wa Kanda ya Kaskazini CHADEMA na Katibu wa Mkoa wa manyara wa wasili Haydom Manyara

    Ni kamandaa kingu na katibu wa mkoa wa manyara now wapo haydom manyara wakitoa semina kwa viongozi na wagombea wa chadema kata ya haydom jioni ya leo kwenye ukumbi wa I.m hotel uliopo mjini haydom kwa kinachoendelea utapat update........... Hapa ni muda wa saa 1 na dakika 3 saa semina...
  10. mzungu jw

    Nukuu ya Katibu mkuu wa CUF

    East Africa Television (EATV) "Wananchi, katiba haikubaliki kwa Wazanzibar, mimi mwenzenu siikubali sijui nyinyi wenzangu, katiba hii haina maslahi kwa Wananchi wa Zanzibar na hatuitaki". Maneno hayo amesema Katibu mkuu wa CUF ambaye pia ni Makamu wa Rais wa kwanza wa Zanzibar Maalim Seif...
  11. mzungu jw

    Vitu vya zamani kama rupia,hela na madini jamii ya almasi

    Kama unaita rupia au vi2 vya zamani wasiliana nami vinapatikana haydom manyara/mpakani mwa singida na manyara
  12. mzungu jw

    Solar solar za kukodisha toka m-power[off grid

    M-POWER WAKALA ni kampuni inayo jishuhulisha na umeme wa utokanao na mwanga wa jua.Inatoa huduma ya solar za kukodisha. Inatoa huduma hiyo kwa madaraja mawili ambayo ni> daraja la kwanza lina taa 2 pamoja na kuchaji simu, ambayo gharama ya kufungiwa ni shilingi 10000 .Na malipo ya siku...
  13. mzungu jw

    m power m power solar za kukodisha

    M-POWER WAKALA ni kampuni inayo jishuhulisha na umeme wa utokanao na mwanga wa jua.Inatoa huduma ya solar za kukodisha. Inatoa huduma hiyo kwa madaraja mawili ambayo ni> daraja la kwanza lina taa 2 pamoja na kuchaji simu, ambayo gharama ya kufungiwa ni shilingi 10000 .Na malipo ya siku...
  14. mzungu jw

    Anayehitaji kufungiwa solar za M-POWER(off grid)

    kama unaitaji solar za M-POWER za kukodisha kwa wakazi wa arusha wasiliana na wakala/agent kwa namba 0755902595 au wasiliana nae kwenye page facebook/j.w solar agent.com kwa mawasiliano ya ofisi piga simu ya bure namba 0766240240
  15. mzungu jw

    Hii picha kunajambo

    Jk na na mwenzake uwekaji wa miguu unanipa shaka
  16. mzungu jw

    tanseco wanini tena M-POWER(off grid) ndo suluisho lako la umeme

    M-POWER ni kampuni inayotoa huduma ya umeme wa jua(solar) za kukodi zenye uwezo wa kuwasha taa,radio na kuchaji simu kwa gharama nafuu kutegemea maitaji yako kwamfano unanyumba ya vyumba 3 utalipa gharama ukufungiwa mtambo mdogo sh.elfu 10 na kulipia kila mwenzi sh.10,500/= tu jiunge nasi sasa...
  17. mzungu jw

    Ofa solar m-power(off grid)

    m-power ni kampuni iyo toa huduma ya umeme wa jua(solar) za kukodisha.inakupa ofa ya mtambo wa daraja la kwanza ambao unauwezo wa kuwasha taa kubwa 1 na ndogo 1 na kuchaji simu kwa gharama ya ufundaji ni sh.elfu 10 na gharama za ulipiaji kwa mwenzi ni elfu 9 wasiliana na agent john wa arusha...
  18. mzungu jw

    solar solar m-power(off grid)

    M-POWER(off grid)_ni kampuni inayo juhusisha na umeme wa jua, solar za kukodisha zenye uwezo wa kuwasha taa,radio na kuchaji simu. ina mitambo ya kisasa ambayo malipo yake yana fanana na luku unalipia kwa siku,wiki,mwenzi na vocha zake zinapatika kuanzia 1,000/= kwa wakazi wa arusha wasiliana na...
  19. mzungu jw

    Solar za m-power(off grid) kwa wakazi wa Arusha na vitongoji vyake

    M-POWER(off gridi) ni kampuni ya solar za kukodisha zinapatikana kwa gharama ya kufungiwa ni sh.10,000 kwa mtambo wa daraja la 1 na kwa sh.15,000 kwa mtambo wa daraja la 2 pia zina chaji simu na redio na kwa daraja la kwanza malipo ya siku ni sh.300 na kwa daraja ya pili ni sh.450 kwa siku kwa...
  20. mzungu jw

    Natafuta kazi Arusha/Manyara/Moshi/Babati/singida

    kijana mchapakazi anatafuta kazi zifuatazo 1;ufundi umeme wa majumbani 2;kusimamia pub,bar,hotel,supermarket na n.k nauzoefu naza kama unanihitaji nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote arusha/moshi/babati/singida na haydom manyara mjini mawasiliano ni 0689446433 au email jw446433@gmail.com...
Back
Top Bottom