Search results

  1. P

    Password na agenda ya siri hamna lolote!!!

    Ndani ya ndoa hakustahili kuwepo siri zozote kati ya mke na mume. Kama una siri ndani ya ndoa basi una mahusiano nje ya ndoa ambayo kwa sababu moja au nyingine hupendi mwenzio ayajue. Mila nyingi zimepitwa na wakati na hazistahili kuendelea kudumishwa. Unaona mwenzio ndani ya ndoa ana...
  2. P

    Tanzania’s future lies in the power of your ballot!

    TANZANIA’S FUTURE LIES IN THE POWER OF YOUR BALLOT! Economics and politics have always been intertwined and inseparable. No politician has ever talked politics without talking economics, and neither is there an Economist who succeeded without theorizing a particular political system and its...
  3. P

    Belgian Catholic offices raided in sex abuse probe

    Pope deplores 'sex abuse' raids by Belgian police Page last updated at 13:57 GMT, Sunday, 27 June 2010 14:57 UK The Pope delivered a message of support for the Archbishop of Brussels Pope Benedict has joined mounting Vatican criticism of raids by Belgian police investigating alleged child...
  4. P

    Elections 2010 Kikwete ana washabiki wengi sijui ni kwanini

    Hata hapa kaangalie alivyopigiwa debe katika thread ya Marilyn Mashiba sijui kwa kikubwa kipi alichokifanya. Mitanzania ndivyo ilivyo!
  5. P

    Belgian Catholic offices raided in sex abuse probe

    Belgian Catholic offices raided in sex abuse probe Page last updated at 16:23 GMT, Thursday, 24 June 2010 17:23 UK Officials said they were searching for evidence of possible abuse Belgian authorities have raided the headquarters of the Belgian Catholic Church during an investigation into...
  6. P

    WAZO LA JUMAPILI: Consultant wa kutafutia mchumba!

    Ndiyo matatizo yenu haya mnadhani wanaume ni wapumbavu sana na nyinyi ni wajanja sana mnaweza kubambika vya kubambika na mwanaume akauvaa mkenge.
  7. P

    Kero katika mahusiano ya ndoa ....

    Hata mawazo ya nyumba ndogo mara nyingi sana ni kujenga na si kubomoa muulize Da Sophy, ndiyo maana nyumba ndogo zinashamiri sana na pia unajiona kama mfalme hata kwa masaa machache tu ukilinganisha na kurudi nyumbani ambako mke hana muda na wewe kwa kisingizio cha kuchoka na kutaka kuangalia...
  8. P

    Kero katika mahusiano ya ndoa ....

    Ndiyo hapo wanahamia nyumba ndogo ambapo kila ukizuka tu attention kama kazi. Na hii ndiyo sababu kubwa ya kushamiri nyumba ndogo, nyumbani mama akiuchuna basi kuna mwenzie anayefaidi katika nyumba ndogo na si ajabu akapewa promotion.
  9. P

    Kero katika mahusiano ya ndoa ....

    Yep! you can have fun but at your own risk
  10. P

    Kero katika mahusiano ya ndoa ....

    Inawezekana kabisa nyumba zinaonekana kama vituo vya polisi kutokana na kero ndani ya nyumba. Ukirudi tu mke anaanza kulalama nimechoka nimefanya hiki nimefanya kile na pia naumwa tumbo au kichwa, nina vipindi vyangu kwenye TV nataka kuviangalia kuanzia saa moja hadi tano usiku, huna muda na...
  11. P

    WAZO LA JUMAPILI: Consultant wa kutafutia mchumba!

    Ni afadhali kuoa mwenye uzuri wa kiasi lakini ni uzuri wa kweli kuliko kuoa yule anayeonekana ni mzuri sana lakini kila kitu chake ni fake. Akishaondoa huo urembo wake unaweza kabisa kumkimbia.
  12. P

    WAZO LA JUMAPILI: Consultant wa kutafutia mchumba!

    Si wajitangaze tu kama ni lesbians badala ta kutaka kuudanganya Ulimwengu?
  13. P

    WAZO LA JUMAPILI: Consultant wa kutafutia mchumba!

    Wanaume wengi wameshaerevuka na hivyo kuweza kupambanua uzuri wa kuzaliwa na uzuri wa kununua, na wala hawahitaji consultants kuweza kutofautisha. Ni wachache mno ambao wanaweza kuuingia mkenge wa uzuri wa kununua.
  14. P

    Tanzania government condemns Israel

    Kenya condemns Israel raid on aid ships Posted on Wednesday 2 June 2010 AfricaNews reporter in Nairobi, Kenya The Kenya Government has condemned Israel's attack on aid ships to Gaza and called for an investigation into the incident. A statement released by foreign ministry said on Tuesday...
  15. P

    Kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile?

    Hata wale mapadri katika nchi mbali mbali duniani wanaolawiti watoto ndani ya makanisa pia na wao walitoka sehemu za mwambao wa Tanzania. Pope blames Catholic church's own sins for child sexual abuse cases | World news | The Guardian
  16. P

    WAZO LA JUMAPILI: Consultant wa kutafutia mchumba!

    Nakubaliana nawe kabisa, Mwanaume yeyote anayenyolewa nyusi na kufanyiwa waxing basi ni lazima ana kasoro fulani katika uanaume wake. Unyolewe nyusi na kufanyiwa waxing ili iweje? uwe na macho ya kurembuka na mwili laini kama mwanamke? si ajabu mwanaume kama huyu anaweza kula hata kungu manga...
  17. P

    Wito: Gomeni kwenda kuangalia mechi ya Brazil na Taifa Stars!

    Asante sana kwa maneno yako mazuri sana ambayo nayaunga mkono kabisa. Mimi nadhani hela hii imetolewa na Serikali TFF haina uwezo wa kulipa hela hii, lakini kwa uamuzi wa kuilipa pesa hii nyingi unawatokea puani itabaki kuwa siri ni nani aliyeidhinisha malipo ya pesa hii nyingi na imetoka katika...
  18. P

    Pete za Ndoa

    Asilimia kubwa ya walio ndani ya ndoa wanacheat hata wanavaa pete au hawavai. Sasa umuhimu wake uko wapi? Mtu anatembea nje ya ndoa huku pete ya ndoa akiwa kaivaa au mwingine ni lazima aivue kabla ya kitendo. Hivi kuna tofauti kweli kati ya watu kama hawa? Baadhi ya ndoa za ugenini wana ndoa...
  19. P

    Polisi Mko Wapi??Majambazi Wanatumaliza

    Polisi wako busy kuwalinda fisadis
Back
Top Bottom