Search results

  1. D

    Mshaurini mtangazaji huyu

    Chuki binafsi,Nurdin is a good guy na ni presenter mzuri,creative,By the way ni mchanga kwenye tasnia hii,Hopely atakuwa kama Marini au zaidi.
  2. D

    Bunge limetukanwa - Hakuna anayepiga kelele?!

    Ni bahati mbaya kwamba, kila siku kuna taarifa za ufisadi mpya lakini hatuoni hatua.Inaumiza kila siku kupata data za mabilioni ya fedha za umma kutafunwa but things are the same always.Ni nani hasa atatangaza mwisho wa upuuzi huu?Watu wako comfortabe kabisa,Waliosanini mikataba hiyo ya ubakaji...
  3. D

    Top Ten footballers Tanzania ever produced

    1.Juma Kaseja 2.Shadrack Nsajigwa 3.Juma Jabu 4.Salum Sued 5.Nadir Haroub Kanavaro 6. Athuman Idd Chuji 7.Mrisho Ngassa 8.Shaban Nditi 9.Haruna Moshi Boban 10.Mussa Mugosi 11. Mwakingewe Imekaaje hiyo?Kizazi kipya
  4. D

    Mwakyembe Arukiwa Na Wasomi

    Upuuzi uleule,ni akina nani hao.Hili gazeti lilianza vizurri but I see linaelekea kufa sasa.Linatumiwa.
  5. D

    UFISADI: The Making Of IPTL

    Tired of Ufisadi, hatuoni chochote kipya,2010 inakuja
Back
Top Bottom