Search results

  1. K

    Kwa wanaopenda kuweka password katika simu zao

    Habari wanajamvi, Leo nimekaa nikawa natafakari kwa watu wanaopenda kuweka password katika simu zao, Je! Faida yake ni nini na hasara yake nini, Je! Kuna ulazima wa kufanya hivyo?...mimi naanza na hasara, kwa mfano: umedondoka ghafla au umepata ajali hujitambui, wasamaria wanajitolea kukusaidia...
  2. K

    Jinsi ya kupika uji wa lishe bila kuunguza

    Habari wa jfchef, naomba msaada kwa mwenye utaalamu wowote wa kukoroga uji wa lishe bila kuungua, maans kila nigorogapo lazima niunguze Asanteni
  3. K

    frame/eneo inahitajika kwaajili ya biashara ya chakula/mgahawa

    Habari wakuu nina shida ya kufanya biashara ya chakula, lakini tatizo eneo linaloendana na biashara ninayotaka kufanya ndio shida
  4. K

    Mastaa wa Kike Wanapoojiwa ni Lazima Walie?

    Nashangazwa sana na hii kitu, mastaa wa kike wanapofanyiwa interview kwenye TV lazima kuna kasehemu wadondoshe chozi, hivi ni hisia au ndo kujifanyisha!
  5. K

    huwa inanikera sana kwakweli

    Habarini za asubuhi wana jf: Imenitokea kwa watu wanne tofauti, mtu ni rafiki yako kwasababu ya majukumu inapita hata miezi miwili hamjasalimia hata kwa sms, siku nikisema nimtafute tu ni kosa, kesho yake anakuambia niazime hela na matatizo kibao sasa najiuliza alikuwa anasubiri mimi nianze...
  6. K

    Je,ni kweli wanaume lazima jogoo asimame kila kunapokaribia kukucha?

    Habarini wakaka na wataalamu wengine, nimekuwa nikijiuliza sana hivi ni kweli kunavyokaribia kukucha ni lazima jogoo asimame? •Je katika hali hiyo huwa mnajisikia kukutana na mwanamke?kama sio mnajisikiaje? •Ni lazima itokee kila siku?
  7. K

    Je,stika za TRA kubandikwa juu expire date ni sawa?Nimekuwa mtumiaji wa bidhaa mbalim

    Nimekuwa mtumiaji wa bidhaa mbalimbali,kwamfano: vinywaji,vyakula n.k. Lakini nimegundua kuwa kinywaji aina ya PEÑASOL(wine) stika ya TRA inabandikwa juu ya expire date,na unapobandua kwa dhumuni la kusoma muda wa matumizi ile stika inabanduka na yale maandishi. Leo nimenunua kwabahati nzuri...
  8. K

    Stika za TRA juu ya expire dates za vyakula mbalimbali

    Nimekuwa mtumiaji wa bidhaa mbalimbali,kwamfano: vinywaji,vyakula n.k. Lakini nimegundua kuwa kinywaji aina ya PEÑASOL(wine) stika ya TRA inabandikwa juu ya expire date,na unapobandua kwa dhumuni la kusoma muda wa matumizi ile stika inabanduka na yale maandishi. Leo nimenunua kwabahati nzuri...
  9. K

    Je,Stika za TRA kubandikwa juu ya expire date ni sawa?

    Nimekuwa mtumiaji wa bidhaa mbalimbali,kwamfano: vinywaji,vyakula n.k. Lakini nimegundua kuwa kinywaji aina ya PEÑASOL(wine) stika ya TRA inabandikwa juu ya expire date,na unapobandua kwa dhumuni la kusoma muda wa matumizi ile stika inabanduka na yale maandishi. Leo nimenunua kwabahati nzuri...
  10. K

    Tunzeni risiti za ATM kama kumbukumbu

    Leo asubuhi nimetoa pesa kwenye ATM ya CRDB, nikachukua risiti ya salio langu nikaondoka. Mimi huwa nina desturi ya kuandika gharama ya matumizi yangu kila ninapotoa pesa, nilipofika nyumbani nikawa nafanya hesabu ya matumizi yangu yaani pesa niliyotoa, matumizi niliyofanya, na pesa niliyobakiwa...
  11. K

    MSAADA: Kucha kuota kwa kuchimba nyama ya kidole

    Habari wana jf, nimekuwa na tatizo linalonisumbua takribani miaka minne sasa, kucha zangu za vidole vya miguu zinaota kwa kuchimba nyama kitu ambacho wakati mwinginw hunisababishia maumivu makali sana hata kuvaa viatu siwezi,na nikijaribu kukata huwa kinabakia kama kidonda nilichokatwa na wembe...
  12. K

    tafadhali wenyeji nifungulieni

    Mimi ni member mpya hapa jf naomba mnipokee
  13. K

    tafadhalini nifungulieni milango wenyeji

    Mimi ni member mpya hapa jf naomba mnipokee
  14. K

    tafadhali wana jf nifungulieni milango

    Mimi ni member mpya naomba mnipokee
Back
Top Bottom