Wakuu hiyo hali isikieni tu.... Kwa tunaoish kwenye hali hyo tunajua.
Mwaka 2015 natoka udsm nikiwa na shangwe ,... Lakini jinsi maisha yanavyonichapa kwa ufukara... Namlaumu baba kunipeleka darasa la kwanza ilhali yeye alikuwa na uwezo wa kunifundisha kusoma na kuandika.....
Sasa kampeni...
Vita ya dunia ipo, ila itahusisha serikali (yaani UN) against dini zinajifungamanisha na Siasa..(babiloni mkubwa)
tunayoyaona sasa ni utanguliz tu... serikali baadae itajua kuwa chanzo cha vita zote ni dini za uongo...(mwenye macho na aone hilo
Kila aina na muundo wa serikali imeshindwa kutawala na kuleta amani,,, Ujamaa, udikteta, demokrasia,, zote zimefeli kuleta amani.. Teknolojia zote zinazidisha vifo badala ya kuokoa... Pesa, pesa, pesa ndo Catalyst ya yote...
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
1. Vita ni vingi, vya Kikabila, Kidini, Kimataifa... Hakuna amani duniani, nchi inayosema ina amani si amani bali ni utulivu
2. Njaa ni Kali, vyakula vinazalishwa kwa wingi ila vinatumika kutengenezea vitu visivyotibu njaa viwandani, watu wanakufa kwa njaa
3. Magonjwa. Haya hata nisiseme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.