Search results

  1. B

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    sasa ni dakika ya 75ya mchezo yanga 1 mtibwa 1, mechi ni kali sana wanashambuliana kwa zamu,ball possesion yanga 58 mtibwa 42
  2. B

    Maalim seif kuunguruma London

    tutahudhuria mkuu xp,wala usijali napia ni kwa watanzania wooote mnaruhusiwa kuhudhuria,shime tujitokeze kwa wingi bila kukosa.
  3. B

    M/kiti wa CCM mkoa wa Tabora ampigia debe Selelii

    mambo yameanza,tutaona na kusikia mengi mwaka huu,hatuja sikia ya rostam nae,na rt na selelii ni chui na paka patamu hapo,yetu macho na masikio.
  4. B

    M/kiti wa CCM mkoa wa Tabora ampigia debe Selelii

    mambo yameanza,tutaona na kusikia mengi mwaka huu,hatuja sikia ya rostam nae,na rt na selelii ni chui na paka patamu hapo,yetu macho na masikio.
  5. B

    Pingu ya Muro

    mbongo tz umenena na utenzi wako umetulia,na yale uloyasema hakika yatatokea,ada ya mja hunena muungwana ni vitendo
  6. B

    Pingu ya Muro

    naungana nawewe kua hapa kuna kitu kimejificha,ila mwisho wa siku ukweli utajulikaka na wapo watakao inamisha nyuso zao chini kwa aibu kubwa watakayoipata,hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
  7. B

    IPP Media yaisusia Simba Sports Club

    magehema umenena ukweli mtupu,kama wanazi wa simba waliona wanakosa haki yao wangefata taratibu kupitia tff wakajua watapataje haki yao,sio kuleta mambo ya kihuni nakuanza fujo nakutaka kuvunja vifaa vya kazi wanajua thamani yake,ni mapesa mengi mno kuvinunua,mm binafsi nawaunga mkono waandishi...
  8. B

    CUF Wagonga Mwamba, Karume Akataa Kuongezewa Muda Hata wa Siku Moja Ikulu!

    mimi nilishasema mapema ccm hawaaminiki hata kidogo,juhudi zote hizi za kuleta maridhiano zinazoletwa na wanaoitakia mema nchi yetu wao ccm wanafanya kama mchezo wa maigizo,hawaaminiki hata dakika 1 hawa,hakuna chochote cha maana wanapoteza muda ili cuf walegeze kamba ukifika uchaguzi wanafanya...
  9. B

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    tunaongoza ligi tumemchapa bolton 4-2 mambo saaaaaaafi ,na kwa moto huu ninaouona sasa inshaalah ubingwa ni wetu vijana wetu wanatisha mno hivi sasa,ila tuna big mech 3 zinafatana kwanza 31/jan na man u,badae liverpool inafata ya chelsea tukishinda hizo game 3 sisi mabingwa inakua hakuna wa...
  10. B

    Polisi VS Majambazi

    nyie wote mnaowalaumu polisi kwa kuua majambazi mimi nashindwa kuwaelewa kabisa,au nyie mnaona raha mijambazi inavyoua watu kikatili bila hata huruma ukerewe yamefanyika mauaji ya kutisha na kila siku raia wema wasio na hatia wanauawa na mijambazi nyie mnaona raha,nahisi hamjawahi kukutana na...
  11. B

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    umenena kweli tupu,zenj inawenyewe na wenyewe mtawaona kuanzia kesho 20/1/2010 ktk baraza la wawakilishi wataamua mambo yao wenyewe,tusiwaingilie,makamba domo kaya kila mtu anajua,
  12. B

    HOTUBA ya Seif Sharrif na Majibu yake kuhusu Maridhiano Zanzibar!

    hongera sana ustaz umenena yale yaliyo moyoni kwangu ndoto yako ndio ndoto yangu, hawa cuf wanachezewa makidaMAKIDA NA CCM HATA SIKU MOJA HAWATAKUBALI KUFANYA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI HUKO ZENJ WANAJUA WAKIKUBALI MAMBO YAFANYWE KIDEMOKRASI YA KWWELI WATASHINDWA VIBAYA SANA WATAPOTEZA MADARAKA...
  13. B

    Wabunge CCM kuunda chama?

    Pumba zilizopangwa ili kuuza gazeti.
  14. B

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    pia ben kiko,taitas filipo,mikidadi mahamud,sango kipozi,chisunga steven,hawa walikuwa maripota wa uhakika na sauti zao zilikua zinawavuta mno wasikilizaji hasa ben kiko,kutoka taborrra huyyu ni beeeeen kikkko wa rrrrrrrrrrreeeeedio tanzania.hata kisumu kenya kulikuwa na club ya wasikilizaji...
  15. B

    Kisa cha Waziri Ngeleja na Mlinzi kwenye ATM

    mwanzo umetoa mifano mizuri lakini hapa mwisho umekosea kuwa na lafidhi ya kisukuma sio kosa huo ni ufahari na utambulisho wake yeye ni nani,wacha ubaguzi na ukabila,ila kama ni kweli ngeleja kafanya yote hayo ikiwa ni pamoja na kuzuia ndege ya atc imsubiri anakosea,ajirekebishe ajue cheo ni...
  16. B

    Kuna uhusiano gani kati ya dini na kulana tiGO?

    hizo tabia za kulawitiana ni chafusana na zimelaaniwa ktk dini zote na yeyote anaefanya vitendo hivyo amelaaniwa na yeyote anaeshiriki kwa namna yoyote katika uovu huo amelaaniwa.
  17. B

    The Rise and Fall of Augustine Lyatonga Mrema

    nguvu mali wewe na mimi mawazo yetu yamefanana kabisa huyu mrema mwacheni apate malipo ya dhambi alizotenda enzi zake.
  18. B

    The Rise and Fall of Augustine Lyatonga Mrema

    yote nimeyasikia ni vituko tu vya kisiasa,ila mimi nauliza mzee wakiraracha mrema anaumwa ugonjwa gani,majuzi nilimuona kwenye tv uso wote umekua mweupe je ana ugonjwa wa mbalanga au ana fngas,maskini mrema amekwisha kisiasa na kiafya pia polesana ila kumbuka nini uliwakosea watu enzi zako za...
  19. B

    JAYDEE Apanga kununua ndege (aeroplane)

    kanda mbili2 umenikosha,jide huna uwezo wakunua ndege hata hao majizi wa madini yeyu hawana uwezo wakumiliki ndege ila baada ya kutuibia madini yetu ndio wamenunua ndege,au mnatutangazia kama mlipelekwa na kurudishwa kwa ndege,hamtakiwi kufurahi mnatakiwa mlie kwa nchi yenu inavyoibiwa,hiyo...
  20. B

    Dr.Slaa ajibu hoja mbalimbali na kueleza Sera za CHADEMA hapa JF

    Ahsante sana kwa kumuweka Dr. Slaa aweze kujibu maswali yetu. Swali la kwanza ni dogo tu: Vp wao kama CHADEMA wana maoni gani au wana ushauri gani kuhusu mwelekeo wakisiasa wa sasa huko Zenj. Je, amani na CCM yake wana nia ya kweli yakuleta maridhiano ya kisiasa na kuondoa chuki na mifarakano...
Back
Top Bottom