Search results

  1. Ubuntuwize

    Ukitazama picha ya kisiasa, Elimu imekuwa si mkombozi tena kwa Mtanzania

    Kwa mujibu wa takwimu za sasa ni kwamba, elimu inapanda mara dufu kutoka mwaka 2015 mpaka hivi sasa 2020. Kwa mtazamo huo ningetarajia kabisa watu wawe na uwezo angarau wa kuona mapungufu makubwa yaliotokea katika utawala wa miaka 5 ya bwana JPM. Tofauti na hilo wengi mamegeuka kuwa washabiki...
  2. Ubuntuwize

    Msichana mrembo 23-29 yrs

    Wakuu umofia kwenuu.. Twende kwenye mada husika. mimi ni kijana miaka 30yrs kwa sasa natafuta msichana mrembo awe rafiki kisha mpenzi. 1. Awe mkristo 2. Shule yeyote above form six 3. Awe mrembo. Shukrani
  3. Ubuntuwize

    Mtizamo juu ya Tatoo

    Wakuu salaam, Wacha niende moja kwa moja katika mada Tajwa hapo juu. Nimekua na mtizmo tofauti kidogo ambao nimejaribu kuchukua hatua kidogo kuufanyia utafiti, na nimekuja kuona kama kuna ukweli fulani. Wanawake walio jichora tatoo wengi wao wana hulka za kuwa cheap yani haupati shida uki...
  4. Ubuntuwize

    HP laptop inauzwa Dar es Salaam

    Wakuu salama? Ama baada ya salamu, ningependa kwenda moja kwa moja katika mada husika. Nina laptop nimeinunua march this year as refublished, naiuza na haina tatizo lolote, ni kua nimepata nyingine free from my working office. AINA; HP ELITEBOOK 8460 P RAM; 4GB (DDR3) PROCESSOR; 2.5GHZ INTEL...
  5. Ubuntuwize

    Nimepata msichana mwenye mwanaume mwingine

    Wakuu wanajamvi habari zenu? Bila kupoteza muda na ukizingatia mmetoka katika msimu wa Pasaka basi nisiwachoshe, naomba niende moja kwa moja katika mada, Mimi ni kijana(Me) amabae sijao bado. Sasa kutokana na kuwa kwe mahusiano kadhaa yasio kuwa na mafanikio sana kipindi cha nyuma nikiwa...
  6. Ubuntuwize

    Huduma ya Ushauri Wa Kitaalamu kupambana na Mafuriko pamoja na Uandaaji wa ramani kwa GIS

    Wakuu asalaam Ni tumaini langu kuwa mu wazima wa afya na mko katika Muendelezo wa majukumu kama kawaida. Nimekuwa na tafakuli nzito Muda mrefu kidogo na nimekua nikikosa wasaa wa ku wasilisha mawazo haya hapa jukwaani ila leo nimeona vyema ni wajuze. Issue yenyewe iko hivi; Nimefanya kazi nyingi...
  7. Ubuntuwize

    Pata msaada wa kutengezewa maps(ramani ) mabalimbali na msaada juu ya kukwepa majanga ya mafuriko

    Wakuu habarini Mimi ninaujuzi wa namana ya kutengezeza ramani aina mbalimbali kama ,LOCATION MAPS,ANALYSIS MAPS KUONYESHA Mambo mbalimbali kulingana na mahitaji ya muhusika ,hasa wale wanaofanya researches huwa wanhitaji kutumia ramani naweza kukutengenezea pia kama unahitaji kufanya SITE PLAN...
  8. Ubuntuwize

    Israel na ubaguzi wa rangi

    On Israel, Racism and Hate July 12, 2014 at 7:46pm This is a speech made by Israel Prime Minister Benjamin Netanyahu to his cabinet about two days ago. It was reprinted by Affan Sosibo for the African National Congress Youth League on the 8th July 2014. I quote: "We are not obliged even the...
  9. Ubuntuwize

    Kiwanja mbweni medium density size kinauzwa bei ni nzuri kabisa ya kitanzania zaidi

    Habari zenu wakuu kwa ujumla, natumai mu wazima wa afya na kwalio na matatizo ya kiafya poleni ila Mungu muweza yote natumai atawaponya ili tujumuike wote katka ujenzi wa taifa kwa ujumla..... SASA HAPA KUNA BIASHARA KWA ALIE TAYARI TUTA ZUNGUMZA.... KUNA KIWANJA MAENEO YA MBWENI NI MEDIUM...
Back
Top Bottom