wakati mwingine hili kinatibika na tiba za kiasili huenda pia kuna michezo michafu ambayo mama aweza kawa kafanyiwa na kwa kuwa watoto ni km nalaika hawana zambi na wanaulizi wao hukingwa wasidhurike na ubaya ulio kwa mamake. nimewashuhudia wengine wengi wenye tatizo hilo likisababushwa na mama...
Harufu ya kinywa ilio kali kabisa hutoka tumboni na hutibiwa kwa kutibu mfumo wa tumboni wa chakula na ule wa mdomoni uletwao na meno hujulikana tu ambao hutokana na kutosafisha vzr kinywa.
mbona ipo wazi kabisa fupi ni lazima itafika juu juu itashindwa fikia mahali,na ikiwa ndefu sana itaumiza yaweza fikia kizazi.inatakiwa iwe saizi ifiti inategemea na umbile la mwanamke.na ndi maana watu wakioana kama hawakuzoeana na ikiwa mmoja alizoea umbile fulani basi wataanza kutoka nje ya...
Anatafuta kazi ya nursing msichana ana umri wa miaka 20 elimu yake kidato cha nne,ana certificate ya nurse attendant,anauzoefu wa miaka 3,ni mchapakazi hodari.
msaudueni mdogo wangu jamani amechoka kujitolea kwa muda mrefu sasa anahitaji kuajiriwa.
hata mimi naunga mkono kwa kweli waziri asiwe kabisa mbunge kuba haja gani ya kumlimbikizia mtu mmoja madaraka na salary kibao wakati watu wengi hawana ajira? mbali na nyazfa kibao bado wanafanya ufisadi.hayo sio maisha bora kua kila mTZ
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.