Search results

  1. Mshirazi

    Picha 10 za Mahabusu Aliyevua Nguo Akishinikiza kesi yake isikilizwe..!!

    Ana kesi nyengine ya kujibu,, ameidhalilisha mno JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA kwa kukumbatia mlingoti wa bendera akiwa mtupu
  2. Mshirazi

    Wakili aidai Fastjet Sh60 mil kwa usumbufu

    Duh kumbe mkwala unasaidia,,, naona mkuu umeamua yaishe! maamuzi mazuri
  3. Mshirazi

    Msako wa Malaysia Airline wafikia patamu

    Wamtafute mzee pweza,, yeye huingia hadi kwenye miamba, labda kaiona huko
  4. Mshirazi

    Top 10 most beautiful mosques

    Nashkuru sana Dada Faiza,, Binafsi nimebahatika kusali katika huo number 10 (Faisal Mosque) kwa hakika ni mzuri na ni mkubwa sana. nashkuru kwa kunikumbusha mbali
  5. Mshirazi

    Ni kweli BARAA hili linainyemelea Tanzania?

    Ningeamini kama kungekua na chama M-Badala,, kwasasa TZ hakuna waliopo wote ni Wababishaji kama hao waliopo au afadhali au hao waliopo
  6. Mshirazi

    msaada

    Huyo bwana aliesimama hapo nyuma na fimbo nadhani atakua ndio MNYAPALA wao
  7. Mshirazi

    Ushaidi wa picha,hali ya dr.slaa kimikutano ni mbaya,anaswa akiagiza jeshi la polisi lisikae mbali

    Duh! ila hiki kibabu kiko FIT mvua yote hiyo hakijapandwa na ngiri,
  8. Mshirazi

    Video:Siasa za Waisrael kuwabagua wafrika ndani ya Israel

    Duh! hawa ni zaidi ya WANYAMA, kisha unamkuta mtu mzima na akili zake anatundika bendera ya israeli kwenye gari lake...
  9. Mshirazi

    Hawajahi kuona?

    Duh! dada F hata wewe!!!!!
  10. Mshirazi

    Kevin Richardson - Dangerous Companions

    Kama bado hawajamuua,, kuna siku watamuua tu,,,
  11. Mshirazi

    Polisi wa ulaya akata viuno je polisi wa bongo anaweza hivyo?

    Kama ni kitu cha kawaida huko kwao,, mbona watu wanaMSHANGAA!! kulikoni watu washangalie kitu cha KAWAIDA
  12. Mshirazi

    mliopita jkt mwaikumbuka hii

    Yeah,, ni Mestin ila jeshini inaitwa KIENYEJI Mustin naikumbuka sana ni kifaa chwa kwanza kabisa kukabidhiwa just after CAMP INTRODUCTION.
  13. Mshirazi

    JK aonja nguvu ya CHADEMA Mwanza

    Mkuu umeniwahi kuuliza hilo swali..... USHABIKI MWENGINE......
  14. Mshirazi

    Babu anayetaka kumfufua mwalimu nyerere ageuka gumzo

    Afufue hayo meno yake kinywani kwanza
  15. Mshirazi

    Wengi wanaowaponda wazanzibar ni wale waliotoka mikoani kuja dar ukubwani.

    Lazima mkubali Ustaarabu wa Kitanzania unaanzia ZANZIBAR,, tokea zama zile hadi leo,, maendeleo na ustaarabu umeakua ukianzia Zanzibar na baadae bara wakafuatia,,, nakupa mifano michache tu ifuatayo : Televisheni ilianza Zanzibar,,, Miaka 20 baadae ndio ikaja Bara Masuala ya Biashara huria...
  16. Mshirazi

    Unaweza kumuona hapo askari? Yupo wapi?

    Yupo B1,, kulia kabisa,,
  17. Mshirazi

    Gitaa linauzwa!

    Violin kiswahili chake ni KINANDA,
  18. Mshirazi

    Unaweza juvihesabu hivi vijumba vipo vingapi kwa haraka haraka

    kitu kama 2113 vipi nimepatia?
  19. Mshirazi

    Chemsha bongo yangu ya leo jamani

    Mzizi hiyo inaitwa NGALAWA, na hizo fimbo zilizowekwa hapo juu zinaitwa pondo kazi yake ni kusukuma chombo hicho kinapokua katika kina kifupi cha maji. Pia naona katika kati kuna tundu nakumbuka linaitwa FOROMALI maalum kwa ajili ya kuwekea Tanga.
  20. Mshirazi

    "unasikia mwigulu asiwatishe"

    RAS MAKUNJA anafuatilia kwa makini sana,, huku akisema "alaaa!! kumbe nyinyi mnaelewanaaa!!"
Back
Top Bottom