Search results

  1. nzehe

    Ajali ya waziri wa utalii... Je ni vita ya ndani ama ya nje?

    umeandika maandishi mazuri mkuu,lakini hujaangalia je mh waziri na wasaidizi wake wanafanya kazi masaa mangapi?wanapumzika masaa mangapi?wanatembea kilomita ngapi barabarani?mie kwa kuangalia tu naona ajali imetokana na uzembe wa dereva unaotokana na uchovu na kutokuzingatia sheria za kujali...
  2. nzehe

    Serikali ipeleke Muswada Bungeni kufuta Uraia wa Diaspora wanaohamasisha vurugu kwa Watanzania

    Kwanza nakuomba kistaarabu uwaombe msamaha watanzania walioko nje ya nchi. Mada yako ni nyepesi Sana Na imejaa viashiria vya kugawa watanzania Na kupandikiza mbegu za chuki.Au kumwagilia mmea wa chuki ambao wewe Na wengi mmejenga dhidi ya diaspora. Uraia wa mwananchi hauwezi kufutwa kiurahisi...
  3. nzehe

    Almasi ya Bilioni 32 inayodaiwa kukamatwa Uwanja wa ndege Dar ni Uongo wa karne!

    Haiwezekani,kilo 19 haijawahi kuonekana
  4. nzehe

    UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anne Kilango Malecela kuwa mbunge

    lakini,wakati anamtumbua si alisema atampangia kazi nyingine?ndiyo hii sasa kazi nyingine
  5. nzehe

    Ungependekeza Bilion 600 za Dreamliner zitumikee wapi?

    Bilioni 6 hizo ni investment nzuri tuliyowahi kufanya tangu uhuru.JPM amelenga kukuza sekta ya utalii,sekta ambayo hatujaigusa kabisa,kwa kukata mtu wa kati watalii watakuja kwa wingi,kutakuwa na unafuu wa gharama za matembezi hayo,halafu multiplier effect kwenye ajira na kuongeza ujuzi.
  6. nzehe

    Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi 21

    Geneva ndipo ilipokuwa makao makuu ya UN,hata hivyo bado ni makao makuu ya mashirika ya UN
  7. nzehe

    Majibu kwa Lizaboni, kuhusu upotoshaji wa makusudi wenye dhamira mbaya dhidi ya Rajab Luhwavi na CCM

    kwa hilo uko sawa hapo juu,kwa wanaomtetea Luhwavi,bahati mbaya kwa upande wangu nimeiangalia kwa jicho la tatu,luhwavi kwa kuwa ni mtendaji tu,au tuseme mwajiriwa hana uwezo wa kuinfluence wajumbe wa mkutano mkuu,kwa upande mwingine ni strategy tu
  8. nzehe

    Majibu kwa Lizaboni, kuhusu upotoshaji wa makusudi wenye dhamira mbaya dhidi ya Rajab Luhwavi na CCM

    safi sana hakuna la kuongeza ile thread ya Lizaboni ilikuwa imekaa kimajungumajungu tunashukuru sana kwa maelezo ya kina kuhusu taratibu za chama cha mapinduzi kiutendaji vs majungu na propaganda za kukigawa na kupelekea kudhoofika kwa kasi ya hapa kazi tu
  9. nzehe

    Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    Sawa nimeielewa mkuu,kuna figure sizielewi.sasa basi kama alizi clear kwa kufanya certificate au diploma au re sitting hawezi ku qualify?
  10. nzehe

    Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    Labda katumia hiyo
  11. nzehe

    Mtoto wa Magufuli sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    Hayo ni form 6,je ile requirement ya credit 5,ambazo including maths and english za form 4,zinaapply bado?
  12. nzehe

    Ukweli kuhusu Mabilioni ya NIDA: Kulinganisha NEC na NIDA Kimantiki

    Utafiti ni kitu bora sana kabla ya kuwasilisha mada,audit reports zitaweka wazi
  13. nzehe

    Ukweli kuhusu Mabilioni ya NIDA: Kulinganisha NEC na NIDA Kimantiki

    Uchambuzi yakinifu huu,hakukuwa na sababu za msingi kutumia mabilioni kwenye NEC ilhali NIDA walikuwa wanasuasua kifedha.on value for money yes ni viable .politics ukichanganya na utalaam ni lethal
  14. nzehe

    Waziri Angelina Mabula apiga bonge la pati kusheherekea uwaziri, tulikunywa kula na kusaza

    Mama huyo kaenda shule vizuri,amefanya kazi vizuri kabla hajaingia siasa,vilevile tupunguze dharau na kejeli kwa wasukuma,ni wasukuma wachache wanaopenda kubebwabebwa wengi ni wachapa kazi.nimeandika hivi baada ya kuona mtiririko unaelekea shule ya waziri na kabila lake
  15. nzehe

    Je, Hili ni kweli kuhusu nyoka?

    Ni kweli,mate ya binadamu ni sumu kali sana kwa nyoka,humfanya awe hypnotized kwa muda,ukimuuma na meno ndio kiama chake kabisa
  16. nzehe

    Mtaa MZIMA Wamagufulika

    Safi sana #hapakazi tu
  17. nzehe

    Picha ya Dr. John Pombe Magufuli enzi za ujana wake 1983

    1963 alikuwa na miaka 2,duh
  18. nzehe

    Ugomvi wa zuberi mtemvu na julius nyerere 1958

    Asante sana Mohamed Said kutukumbusha historia haswa nafasi ya Zuberi Mtemvu ktk harakati za uhuru.
Back
Top Bottom