Search results

  1. W

    Elections 2010 Marando amgeukia Jaji Mkuu

    Mi sishangai kwani ni kada wa kutupwa na kwa kufanya hivyo analipa fadhila za kupelekwa Marekani kwenye matibabu. Ni aibu kuwa na mfumo wa kiubabaishaji watu wanakutana nyuma ya mlango na kupanga matokeo...Tazama mgombea binafsi/huru. Bila katiba huru itakayoainisha mchakato wa uteuzi wa wakuu...
  2. W

    TBC1, ITV, STAR Tv NA CLOUDS FM Ni mali ya CCM?

    Unajua mbinu inayotumika ni kuwanunua watangazi na wahariri ndio maana utaona kipindi kama cha Jahazi ambapo Kibonde yupo kazi yake ni kuipigia debe CCM na kujifanya anajua kila kitu na anachokisema yeye ndio hali halisi. Tazama siku katimu mkuu wa TUCTA alivyoshindwa kufika kutoA a ufafanuzi wa...
  3. W

    Sio kila ombaomba anahitaji msaada- be careful

    Hii ni ajabu, ingekuwa bora vyombo vya dola vituhakikishie kuhusu kutokea kwa tukio hilo
Back
Top Bottom