Search results

  1. M

    TANROADS-Tanga waita kwenye usaili

    Wadau wa JF, juzi nimepigiwa cmu na Watu wa TANROADS-Tanga, wakinihitaji nihudhurie kwenye interview itakayofanyika tar 7 na 8/05/14. Kwa maelezo yao wanadai nisome gazet la mwananchi la April 28 kuna details zote pmj na list ya walioitwa. Sasa wana JF naomba mwenye uwezo wa kuzpta hzo...
  2. M

    Jinsi ya kufika TPDC Housing Estate

    Wadau naombeni mnisaidie mahali ilipo TPDC Housing estate na jinsi ya kufika huko. Nikimaanisha nipande magari gan maana mm ni mgen hapa jijin na kwa sasa niko Mbagala rangi 3 ndo nilikofikia kutoka mkoan. Hvy naomba anaefahamu vzr anielekeze kutoka MB/Rangi 3 mpk huko.
  3. M

    TANROADS-Kigoma na Arusha

    :nimekataaWadau kuna nafasi za WEIGHBRIDGE OPERATORS zilitangazwa na hao jamaa nika-apply tangu Nov 2013 bt mpaka sasa cjapata updates zozote kutoka kwao. Wana JF naombeni kama kuna mwenye taarifa au kuitwa interview na hao jamaa anijuze.
Back
Top Bottom