Search results

  1. M

    TANROADS-Tanga waita kwenye usaili

    Wadau wa JF, juzi nimepigiwa cmu na Watu wa TANROADS-Tanga, wakinihitaji nihudhurie kwenye interview itakayofanyika tar 7 na 8/05/14. Kwa maelezo yao wanadai nisome gazet la mwananchi la April 28 kuna details zote pmj na list ya walioitwa. Sasa wana JF naomba mwenye uwezo wa kuzpta hzo...
  2. M

    Jinsi ya kufika TPDC Housing Estate

    Ahsante kaka, kwa mchango wko, lkn mbona wanadai magari yanayotokea hku MB/Rangi 3 hayapitii kituo cha sayansi ulichokitaja hapo juu. So, hebu naomba unipe namna nyngne ya kufka huko.
  3. M

    Jinsi ya kufika TPDC Housing Estate

    Wadau naombeni mnisaidie mahali ilipo TPDC Housing estate na jinsi ya kufika huko. Nikimaanisha nipande magari gan maana mm ni mgen hapa jijin na kwa sasa niko Mbagala rangi 3 ndo nilikofikia kutoka mkoan. Hvy naomba anaefahamu vzr anielekeze kutoka MB/Rangi 3 mpk huko.
  4. M

    Wadau Oral interview TPDC ni lini?

    usiwe na shaka mkuu, maana wanadai watatoa updates kwenye website yao. kwa hyo vuta subira.
  5. M

    TANROADS-Kigoma na Arusha

    :nimekataaWadau kuna nafasi za WEIGHBRIDGE OPERATORS zilitangazwa na hao jamaa nika-apply tangu Nov 2013 bt mpaka sasa cjapata updates zozote kutoka kwao. Wana JF naombeni kama kuna mwenye taarifa au kuitwa interview na hao jamaa anijuze.
  6. M

    TPDC wamenifyeka, ndoto zangu za Mtwara kwisha

    Wadau mnijuze na mm matokeo ya ELETRICAL TECHNICIANS coz tumefanya interview tangu tar 04 bt mpaka sasa hawajatoa updates.:loco:
  7. M

    Mwenye Access matokeo ya Usahili Legal Officer TPDC

    wadau hata mimi naombeni mnijuze kuhusu matokeo ya ELECTRICAL TECHNICIANS maana tumefanya interview tangu tar 04 bt mpaka leo hawajatoa updates.:baby:
  8. M

    Mwenye Access matokeo ya Usahili Legal Officer TPDC

    :frusty:mkuu matokeo watoa bt kama cmu yko haifungui page za pdf haitafunguka. jaribu kutumia pc.
Back
Top Bottom