Search results

  1. kijani11

    Ukiachana na Pesa, unahitaji nini sasa hivi?

    Mda wa kupumzika.
  2. kijani11

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Wakati unakitembeza hukujua mke wa mtu, SoB
  3. kijani11

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    kuna mdau alisemaga Simba na Arsenal matokeo hufanana fanana. Sasa sijui leo itakuwaje?
  4. kijani11

    Tafakuri ya leo kuhusu herufi

    mashariti ka ya watafuta wachumba!
  5. kijani11

    Experience ya kulea vifaranga vya kuku

    It will be updated daily Deleted01
  6. kijani11

    Hakikisha unaamka kumwangalia mwenza wako kalalaje

    Mimi siwezi kulala nimekumbatia/kumbatiwa. Nahisi nakabwa.
  7. kijani11

    Picha: Umemtambua huyu ni nani?

    marshall mathers
  8. kijani11

    Naomba kujuzwa kuhusu Kampuni ya Global Alliance

    Uliomba hiyo kazi au uliweka matangazo ya kutafuta ajira?
  9. kijani11

    Huyu mrembo mwenye shepu kali ananichanganya sana

    Nilifungua kuona picha, kumbe uzi haunifai.
  10. kijani11

    Albert Chalamila atishia kumuweka ndani mkandarasi wa Mwendokasi

    Mbwembwe tu za kwenye vyombo vya habari.
  11. kijani11

    Albert Chalamila atishia kumuweka ndani mkandarasi wa Mwendokasi

    Itakuwa wanasubiria kumkabidhi mzabuni kuiendesha maana hii ya Kimara si imeangukia pua.
  12. kijani11

    Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae

    Tafuta shughuli ya kukupatia hela ya vocha.
  13. kijani11

    Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

    Acha tu akung'ang'anie yaani we siku ya kwanza tu ukamwachia na ufunguo, ni tafsiri gani ulimpa?
  14. kijani11

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Goba Mageti

    kiluvya viwanja vina utapeli sana. Yaani kiwanja kuuzwa mara 2 au zaidi ni kugusa tu.
  15. kijani11

    KERO Uwanja wa CCM KIRUMBA una matundu manne 4 tu ya vyoo

    Mbona siamini haya. Miaka ya nyuma shule niliyosoma ilikuwa na wanafunzi 800 -1000. Shule ilikuwa na tundu sizizopungua 60 za choo. Sasa uwanja wa watu 30000+ uwe na tundu nne tu. (Kumbuka shule ilikiwa ni ya Kutwa)
  16. kijani11

    Nampenda sana Nargis Mohamed

    Sylvia mrembo mwenye mwanya wake.
  17. kijani11

    Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Nyasi za huku kusini mwa Jangwa la Sahara ndio tutakaoumia.
Back
Top Bottom