Search results

  1. King’asti

    MADALE: Kero ya Kukatiwa maji bila maelezo na kijana wa DAWASCO

    Achana nae huyo. Njoo na mkeo muoge huku kwetu Flamingo [emoji12]
  2. King’asti

    Buriani Rashid Mbuguni, Mzalendo aliyedhulumiwa kiwanda amekufa hajaona haki

    Historia ngumu sana. Haki ya mtu inacheleweshwa tu, natumai familia itarudishiwa siku moja. Apumzike kwa amani[emoji1488]
  3. King’asti

    Mke wangu ananilazimisha nimcheat...

    Dada mkubwa heri ya miaka mipya! Ungempa ule ushauri wetu pendwa bwana, afunge 7 kavu amuombee mkewe!
  4. King’asti

    TANZIA Mwanamuziki Adolf Mbinga, aka Chinga One afariki Dunia

    Ndio dunia ilivyo. Waalimu waliotufundisha kusoma na kuandika ni maskini japokua wana furaha na wameridhika na maisha yao! Nature is metal.
  5. King’asti

    Kamwe Usimuamini Mwanamke

    Huyo sio tapeli ni kibaka. Mtu anaetokomea kwa kuiba Tzs 1,500,000? Angekua tapeli angekaa hapo miaka kadhaa akaendelea kuchukua hela taratibu.
  6. King’asti

    Mwenye uzoefu na hili linalo tokea anisaidie

    Pole sana kwa changamoto mkuu. Changamoto kwenye maisha ni lazima ila kuzikabili ndio cha muhimu. Mambo machache yanayoweza kukusaidia: 1 Imani- chagua unachotaka kuamini. Chagua mahubiri ya imani yako yaliyo chanya na yenye kukumbusha nguvu ya Muumba, na nguvu ya uchanya iliyo ndani yako. 2...
  7. King’asti

    Unatumia siku ngapi kumaliza Mshahara wako wote?

    Mama yako anaishi maisha anayomudu, hana fake life. Kaa nae vizuri akupe shule ya kuweka akiba soon utanunua na kiwanja ujenge.
  8. King’asti

    Unatumia siku ngapi kumaliza Mshahara wako wote?

    Wewe unakopa kwa kukosa mpangilio. Biriani Masaki ni Tzs 8,000 mpaka 15,000/-. Sinza ni 4,000! Hii ya 30,000/- umesikia wapi? Pamoja na maisha kuwa magumu, kukopa sana inamaanisha unaishi maisha yasiyo yako. Adjust maisha ujitoe kwenye madeni. Kuna njia kadhaa za kusevu, pamoja na kubeba lunch...
  9. King’asti

    Muuza duka wangu anatishia kunishtaki

    Mkataba wowote unapaswa kuwa na kipengele cha kuonesha unaisha lini, na utavunjwaje (ila ya bandari ndio ya milele). Ungempa hiyo hela kwa kuandikishana na akubali kwamba hatakudai chochote cha ziada. Mkataba ufuatao hakikisha una hivyo vipengele.
  10. King’asti

    Kumbe ushamba bado unaendelea…

    Yaani Nyani Ngabu unajihoji sisi kwenda kushangaa ndege na wake zetu (mume wa mama naona haya maigizo hayawezi maskini wa Mungu). Mwisho wa akili zangu ilikuwa ile kuandamana kwenda kushuhudia kuanza kujaza maji bwawa la mwalimu nyerere! Wanasema tembea ujionee!
  11. King’asti

    Mume wangu alizaa nje: Nimekuwa na chuki na kusababisha kuchepuka nje ya ndoa

    Sasa mamie umechepuka ili udange na kujengea wanao? Ama umechepuka kwa sababu unatafuta furaha uliyoipoteza kwa sababu ya kuletewa mtoto wa nje? Kuwa na mahusiano na mtu kwa ajili ya kupata kitu ni kudanga. Hakuna lugha laini ya kuelezea hii. Shughulikia hayo maumivu kabla hayajakupa madhara...
  12. King’asti

    Mwaka wa 8 mke wangu hajui nafanya kazi gani

    Kuna mahali huyu mkewe anaubwaga moyo wake kiroho safi! Anaongeleshwa na kububujikia stress zake na kupeana faraja na mfariji wake. Akirudi nyumbani anakua incubator iliyopewa mtaji kaachwa hapo! Ni sawa na mwanaume anaesema mke wangu haniulizi nimetoka wapi wala narudi saa ngapi! Mwanamke bila...
  13. King’asti

    JamiiForums ya Maxence Melo imenipatia mume. Clepatina naolewa

    Na kapicha ka six packs za shemela ukatupia! Hongera mwaya. Love is a beautiful thing, all the best. Fukia makaburi ya wagweno na usiyakumbuke tena, chapa lapa, pendwa upendeke. Halafu wanaume wanaovaa mashati ya vitenge huwa wanajua kupenda kweli kweli!
  14. King’asti

    Ni kazi gani uliwahi kuifanya ukiwa umefulia ambayo leo ukiikumbuka unacheka tu?

    Nimecheka sana! Njaa haina baunsa kwa hakika [emoji1787][emoji1787]
  15. King’asti

    Mimi silagi samaki

    Anakua anachekacheka wakati anakaangwa. Ahsante.
  16. King’asti

    Huenda ukastaajabu. Lakini huu ulikuwa upande wa pili wa maisha yangu ndani ya JamiiForums

    Hivi mtu mwenye ugonjwa wa bipolar anakuaje? You might need proffessional help, i am afraid!
  17. King’asti

    Matatizo hayafanani lakini kuna wenye makubwa zaidi kutuzidi

    Nikiangalia hizo picha za watu wanaoteseka na njaa, nakua siwaelewi wale wakenya wenye kukaa njaa ili wamuone Mungu! Ukikosa maarifa lazima uangamie[emoji36]
  18. King’asti

    Baba mzazi wa marehemu Milembe Suleman aongea mazito

    “Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa. Apendaye hekima humfurahisha babaye; Bali ashikamanaye na makahaba hutapanya mali.” ‭‭Mit‬ ‭29‬:‭1‬, ‭3‬ ‭SUV‬‬ Amevuna alichopanda, kwa wakati. Baba aendelee kumuomba Mungu wake amjalie maisha marefu, imeisha hiyo!
  19. King’asti

    Anaejua sakata la jamaa wa Kigamboni waliojiunganishia bomba la mafuta liliishia wapi atujuze

    Bongo mwenye hela hawezi kuchukuliwa hatua kirahisi. Ukishaona imefikia kwenye hatua ujue hela haikutosha!
Back
Top Bottom