Search results

  1. B

    Abunwasi na Nchi ya Kusadikika

    nisaidieni njia ya Ku download hivi vitabu jamani natamani sana ila nashindwa
  2. B

    Kwa nini Wasabato hawaruhusu wanawake kuwa wachungaji wakati mwanzilishi Hellen White mwanamke?

    Kwanza tambua sabato haikuanziswa Bi hellen G Sabato ilikuwako toka Enzi za kina Mussa
  3. B

    ‪Kesi dhidi ya JamiiForums: Shahidi adai Polisi hawana utaalamu wa kulazimisha kuingilia mawasiliano kimtandao‬

    Mpelelezi ananifurahisha sana, majibu yake. kwa muonekano tu wa mahojiano haya ina maana kuwa ukipata habali ya hatali ufunge mdomo wako kwa maana wewe ndio utakae wekwa pabaya na sio yule unae mlipoti Mtu kasomea taaluma yake lakini maamuzi nikama ya asiye soma. Wakili kamuuliza, "Je...
  4. B

    Nini nifanye kwa mpenzi wangu?

    Au mgumu kuchekecha mpungaa.?
  5. B

    Mbinguni/peponi pamegunduliwa

    kwa speed ya mwanga miaka m abilioni ila kwa speed ya chombo chao mapema sana daaa..!!!!
  6. B

    Kinachowachelewesha UKAWA hiki hapa

    Nahisi kama umepotea njia....!!
  7. B

    Nataka kuwa na roho ya ukatili

    HAKIKA Kama unataka kuwa katili na roho mbaya fanya kama alivyo kwambia mdau hapo juu na ninge kushauli uanze na kujikata kidole ili utamu na furaha utakayo ipata ndo hiyo hiyo ndo waipatayo hao unaotaka kuwaumiza.
  8. B

    Mwanzo wa kujifunza lugha

    Hatua hii najua kila mtu aliipitia . Naomba uandike maneno ya watoto unayo yakumbuka naanza na haya ya mwanangu .. mboda (mboga) ..mma (maji) ..kitombe (kikombe) daa tumetoka mbali
  9. B

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Hiyooooooo miaka ya nyuma we hukuwepo
  10. B

    Post SMS za vichekesho na utani hapa

    Hata uwe na bahati vp huwez kuokota nyumba..
  11. B

    Ushauri: Tiba ya kikohozi na mafua

    Het mkojo wa punda duuuu...!
  12. B

    Niulize swali lolote kuhusiana na kifo nitakujibu!

    KESHAKUFA TOKA ALIPOTOA MADA LEO NDO MATANGA ..wadau
  13. B

    35 Most Elite Fighting Units From Around The World

    Sioni ajabu xana kwa mtz kuiponda nchi yake kwani wabongo wengi wana kasumba ya kukataa asili yao na ndio maana wengi wao ni artificial na sio asil wanajichubua,wanavaa mawig .Tz pia inaongoza kwa wa2 kukataa wazazi wao NAIPENDA SANA TANZANIA
  14. B

    Niulize swali lolote kuhusiana na kifo nitakujibu!

    KAMA MTAALAM WA VIFO TUAMBIE UTAKUFALINI...? NA UTAKUFAJE..? Natumaini utajibu kitaalam zaidi asante.... !!!
Back
Top Bottom