Search results

  1. Ibravo

    Viwango vya mshahara serikalini degree 1

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti mada ya kubet[emoji38]
  2. Ibravo

    Msaada: Nahitaji sehemu nzuri ya kulala Masasi, Mtwara

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  3. Ibravo

    Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

    Sasa na shemeji yako atamuacha akikutana na totoz za SUA😆
  4. Ibravo

    Siku hizi undugu ni ‘overrated’

    Sure,unapofeli ktk mambo yako utachekwa na kusemwa vibaya kinyama utadhani hata msaada walikupatia na kama walikupa msaada ukajisahau kuto fadhira basi utasimangwa mpaka ukajuta kwanini walikusaidia.
  5. Ibravo

    Siku hizi undugu ni ‘overrated’

    M May be mpo wachache ndo maana mnathaminiana sana ktk nyakati hizi,kwangu mimi yote aliyoorodhesha mtoa mada yanaakisi maisha yangu na ndugu zangu. Sikatai kwamba ktk kunikuza ndugu wamenisaidia ile uko home sembe inapikwa na unakaa chini unakipiga cha ugali ila baada tu ya umri fulan unachiwa...
  6. Ibravo

    Nimechoshwa na kuombwa pesa kila siku na vijana

    Utasikia 'Hebu fanya mpango wa ten hapo'
  7. Ibravo

    Tetesi: Zaidi ya wafanyakazi 600 yawakuta TPA......

    Haaaaahaaaaaahaaaaaaa Nimecheka mpaka bhass haaaahaa
  8. Ibravo

    Malengo yangu kwa mtaji wa milioni tano

    Daaaah wazo zuri sana tena una uzoefu na hayo unayotarajia kuyafanya basi naamin mungu atakusaidia kwa yote sababu una nia na uthubutu. Mungu akutangulie.
  9. Ibravo

    Upandaji wa miti yakibiashara

    Am inspired.
  10. Ibravo

    Abdul kiba na queen darlin ni wasanii wasio na vipaji ila wanaforce kufanya Muziki

    Kweli kabisa bora waache kuimba wafanye kazi nyingine.
  11. Ibravo

    Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam

    B Bei sawa na bure wakati unalipa pesa!!!!!
  12. Ibravo

    Nauza kiwanja changu

    Haaaaaahaaaaaa eti hatua za Emolo wa Pepe Kale haaaaahaaaaa
  13. Ibravo

    Tumebarikiwa Ardhi Nzuri Sana

    Ardhi nzuri,ina shawishi. Ardhi ni mali.
  14. Ibravo

    Watumishi wa Serikali wenye sifa ya Darasa la saba kuondolewa kazini. Jiandaeni kisaikolojia

    Kweli kabisa, Nami nakumbuka nilipofika form two ilikuwa mwaka 2006 nilikuwa na shemeji zangu wakifanya kazi manispaa ya Temeke wao ni standard seven,walipewa nafasi ya kujiendeleza walitafutiwa hadi madarasa pamoja na walimu kuwafundisha QT maana mmoja wapo alikuwa anakuja na maswali ya form...
  15. Ibravo

    Watumishi wa Serikali wenye sifa ya Darasa la saba kuondolewa kazini. Jiandaeni kisaikolojia

    Tunaheshim sana ujuzi wenu ila mkasome kwanza mpishe wengine wenye vyeti nao wapate ujuzi zaidi then tutawapokea kwa aina nyingine sio hii ya standard seven.
  16. Ibravo

    Kipi bora kati ya miembe ya kisasa na mitiki?

    Mawazo chanya,nami nazichanga nipate ardhi kwanza.
  17. Ibravo

    Kumekucha!! Anayejiita MTUME atolewa tamko kali

    I like your Signature.
  18. Ibravo

    Plot4Sale Eneo linauzwa hekari 2 Kisemvule Mkuranga

    Nina eneo la ukubwa wa hekari 2 linafaa kwa makazi na si kilimo,lipo maeneo ya Kisemvule-Mpera wilaya ya Mkuranga,lipo barabarani kabisa usafiri wako binafsi unafika. Bei 12 Milioni. 0712 318 315
  19. Ibravo

    Computer4Sale Toshiba Satellite Pro c50 inauzwa kwa bei ya kutupa

    Mpaka space bar imechoropoka!! Ni kwa jinsi gan ulivyoibofya bofya duuh,150k
Back
Top Bottom