Search results

  1. N

    Kafulila afunguka kuhusu Zitto na ESCROW

    ZZK anafanya kosa moja kubwa sana.Kwamba ni yeye pekee mwenye uwezo wa kujenga hoja ama kuibua uchafu serikalini.Kwake yeye utendaji kazi wa pamoja haupo.Hutangulia mbele kusema ni yeye ndio alifanikisha.Hakika ni ubinafsi wa kutisha.Bado anaweza kubadilika akitaka.
  2. N

    Maamuzi magumu tu

    Hakika kumkata Lowasa ndio itakuwa lala salama ya CCM.Itapumzika kwa amani
  3. N

    Dr.Slaa ajibu hoja mbalimbali na kueleza Sera za CHADEMA hapa JF

    Dr slaa Karibu Jamiiforums and we call it the home of great thinkers Napenda niweke maswali kadhaa hapa ili ukipata muda wa kuyasoma basi niweze kupata majibu muafaka, 1 ) Najua CHADEMA kinakua kwa kasi na viongozi wanajitahidi kueneza chama vizuri.Sasa naona mmejikita sana kama chama...
  4. N

    Ngawaiya Atangaza Kumvaa Ndesamburo

    Moshi Mjini Ngawaiya ana haki kama mtu yeyote yule kuweka nia yake hadharani ya kugombea jimbo hili la moshi mjini.Karibu moshi mjini tutakusikiliza cha msingi ni lazima aelewe atapambana na mpinzani hodari na aliyejidhatiti sawa sawa. Ndesamburo kashafanya mengi na ngawaiya alishakuwa mbunge...
  5. N

    Mbunge ni nani?

    Wana JF Wakati tunaenda kuchagua wabunge ni vizuri tukijadili nani anatufaa na tunahitaji nini kutoka kwa hawa tunaowaajiri. Kwa mtazamo wangu mimi nafikiri Mbunge ni kama meneja wa mahali husika na hivyo anahusika moja kwa moja na kuibua mikakati ya maendeleo mahali husika.Haimlazimu mbunge...
  6. N

    Baraza Dogo la Mawaziri na Muundo wa Wizara

    Mnyika wasalaam Kwanza nakupongeza kwa kujaribu kuibua mjadala huu kwani ndo wakati wenyewe.Tunapokua na mawaziri wengi automatically gharama za kuendesha wizara hizo ni kubwa na cha kusikitisha hapa kwetu haziendani na matunda ya wizara husika.Naunga mkono tuwe na wizara chache makini na...
  7. N

    Kwanini Prof. Baregu amenyimwa kazi UDSM?

    Acheni ushamba,chuo cha ushirika moshi ndio kila kitu........
  8. N

    Mahojiano yangu na JamboLeo

    Chadema lazima muwe imara. The only thing to archieve that is to fight as a team,kuondoa majungu na makundi. Sera za chama ni madhubuti kuanzia sera ya elimu na nyingine. Umaarufu umeupata na safari ni ndefu kisiasa na majukumu mbele yako ni thabiti. Unahitaji kuwa mvumilivu na kutokukurupuka...
  9. N

    Mahojiano yangu na JamboLeo

    Zitto cha msingi ni kuangalia misingi ya chadema ni nini na utume wa chama kwa kizazi hiki.Migogoro ndani ya chama makini ni upotevu.nimesoma post zako nyingi na ukieleza mengi hadi kipato chako kinachohalalisha wewe kumiliki magari mazuri zaidi ya matano sasa sio sifa kulipwa laki tatu na...
Back
Top Bottom