Search results

  1. isackkallindi

    Rais wa TFF, Jamal Malinzi na Katibu wake Selesitin Msigwa wakosa dhamana

    Malinzi, Mwesigwa na Nsiana wamesomewa mashtaka 28. Kughushi waraka wa kamati ya utendaji ulioonyesha kuwa EXCOM imeridhia kubadilishwa kwa Signatories wa Bank, hii inamhusu Malinzi na Mwesigwa pia. Kufoji risiti za kuwa Malinzi anaidai TFF (risiti zipo zaidi 20 zinazodaiwa kufojiwa) hii...
  2. isackkallindi

    Baada ya kukosa saini ya Jonas Mkude, Yanga wapiga hodi Azam FC

    BAADA YA KUKOSA SAINI YA JONAS MKUDE, YANGA WAPIGA HODI AZAM FC ............. Na isack kalindi DAR ES SAALM: YANGA baada ya kumkosa Jonas Mkude wa Simba aliyeamua kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia timu hiyo, imehamisha macho yake kwa kiungoHimid M ao wa Azam FC huku ikiwa tayari...
  3. isackkallindi

    Wafahamu Wachezaji walioachwa na vilabu vyao Ligi Kuu Uingereza (EPL)

    Wachezaj walioachwa *AFC Bournemouth* Buckley Callum Ralph McCarthy Jake Neale Matthew Alexander *Arsenal* Da Graca Kristopher Santos O'Connor Stefan Ramone Sewell Sanogo Yaya *Burnley* Barton Joseph Green George William Hill Christian Stephen Kightly Michael John Olomowewe Taofiq...
  4. isackkallindi

    Good bye Zaltan Ibrahimovic

    MICHEZO Usitarajie kumuona tena Zlatan Ibrahimovic uwanjani kwa mwaka 2017 By Isack kalindi Bado wachezaji na benchi zima la ufundi la Man United halitakuamini kwa kilichotokea kwa mshambuliaji wao tegemeo raia wa Sweden Zlatan Ibrahimovic kuwa hawezi kurejea uwanjani kwa siku za karibuni...
  5. isackkallindi

    Nafasi za kazii kwa walio soma TEACHING....

    Naomba mwalimu anaeteka kufundisha shule za private mkoani wa pwani. Shule iko Kongowe mbagala inahitaji biology chemistry Offer ni nyumba na chakula cha asubhi na mchana. Mshahara ni 840, 0000/ mpaka 920, 000/ Nyingine iko Bagamoyo pwani. Awe na mathematics Mshahara 700, 000/ hadi 750...
  6. isackkallindi

    Nafasi za kazi

    AMD SOLUTION TANZANIA : Inapenda Kuwatanganzia Nafasi Za Kazi Kwa Sectary Sifa Za Mwombaji ==> Awe Na Uzoefu Na Kazi ==> Awe Na Cv Za Sectary ==> Ajue Kiingereza Cha Kuongea Na Kuandika ==> Asiwd Na Umuri Zaidi Ya Miaka 45 ==> Awe Mtanzania Njinsi Ya Kutuma Maombi Maombi Yote Yatumwe Kupitia...
  7. isackkallindi

    Baryen Munich Na Barcelona zafuzu Robo Fainali

    Team Ya Baryen Munich Imefanikiwa Kufudhu Nusu Fainali Baada Ya Kushinda Kwa Goli 6 Kwa 1 Na Kufikisha Jumla Ya Goli 7 Kwa 4 Baryen Sasa Yaenda Fainal Huku Mchezo Mwingine Uliopigwa Pale Nou Camp, Barcelona Iliibuka Na Jumla Ya Goli 2 Kwa Nunge Goli Ambazo Zilifungwa Na Nerymal Na Barcelona...
  8. isackkallindi

    Baada Ya Yanga Kushinda Kwa Tabu

    Baada Ya Yanga Kushinda Kwa Tabu Kwa Goli 3 Kwa 2, Kocha Wa Stand United Asema Yanga Walibebwa Na Refa Kwa Kupewa Penalt Ya Bure Tu Kesho Kama Kawaida Simba Sc Wataingia Uwanjani Kucheza Na Mgambo Jkt, Mgambo Amekuwa Wa Record Nzuri Kwa Simba Kuanzia Msimu Ulio Pita Simba Vs Mgambo Jkt...
  9. isackkallindi

    Wafungaji E.P.L

    Kiukweli E.P.L Sasa Imefikia Pazuri Jana Watu Kama Kane Na Aguero Wametupia Wote Na Kufikisha Jumla Ya Goli 20 Kila Mmoja Kwa Upande Wangu Naona Kane Atachukua Kiatu Cha Mfungaji Bora Pale E.P.L Kwa Sababu Ana Wastani Mzuri Wa Kutupia Kuliko Aguero Wewe Je?
Back
Top Bottom