Search results

  1. R

    Kwanini wageni wa maonyesho ya Power & Energy EXPO GROUP walipie malipo Dubai na si Tanzania?

    Inategemea Na organizer. Unaweza kukuta wazo Na kwenye kampuni Si mtanzania. Yeye anataka mkutano wake ufanyikie tz kwa sababu Kuna opportunity anayotaka kuonyesha/kuzungumzia. Huyu atakuwa Na sehemu ya kukusanya pesa ndo aje kwenye conference. Halafu kumbumba tz sasa Ni tshs.
  2. R

    Kakobe afunguka tena: Biblia inasema kiongozi akikengeuka ajulishwe

    Hii kali Sana Ni zaidi ya gwanyima Na wengine wote. Haijawahi tokea. Ni mtikila marehemu angesema haya. Nashauri busara zitumike. Waachane naye Na ajibiwe tumekusikia amen.
  3. R

    Salamu zangu kwa Makamanda: CHADEMA Kimekufa 2017, mazishi ni 2018!

    Unapoona mchezaji anayeweza kucheza namba zote Na wakati mwingine peke yake Na akafunga magoli inatakiwa umakini. Sasa bila kuangalia anachezaje Na umakini upi unaweza kupigwa hata kumi bila. Hiki ndo kimewakuta chadema. Angelikuwa slaa angejua. Waliobaki midomo wazi. Hii kandanda...
  4. R

    Salamu zangu kwa Makamanda: CHADEMA Kimekufa 2017, mazishi ni 2018!

    Hapa hakuna jinsi. Kujinusuru Na kifo hili inahitajika brain ya ziada ambayo haionekani. Kuna sehemu walipigwa chenga wakaingia Chaka bila kujua. Sasa Chaka kutoka Kuna miiba Na mabonde. Kuna mambo yalitakiwa wakae kimya. Makinikia moja ya Chaka.
  5. R

    Ili Tanzania iwe nchi ya viwanda nini kinahitajika?

    Inahitajika implimentation plan ambayo Ni realistic. Inawezekana utekezaji upo km energy improvement lakini kuwepo Na time frame Na mpangilio thabiti wa kufikia tunakotaka.
  6. R

    Ili Tanzania iwe nchi ya viwanda nini kinahitajika?

    Policy ya viwanda itakuja Na majibu
  7. R

    Adui wa TTCL ni Issa Omari aliyekuwa Mkurugenzi wa Kwanza CELTEL

    Mbona kila kitu kiko hapa. Mwaka 2013 hili lilisemwa.
  8. R

    Sakata la Airtel: Mkapa, Mwandosya, Warioba na Chenge wataponaje?

    Hapa naona Kuna haja ya kuangalia ubinafsishaji wa makampuni mbali mbali hapa nchini. Hili litufumbue macho. Hongera jpjm
  9. R

    Kuhamia Dodoma ukiwa na kazi yako mkononi bila familia

    Wengine tulisha zoea. Shauri yako.
  10. R

    Nehemiah Mchechu Mkurugenzi wa NHC asimamishwa kazi kupisha uchunguzi!

    Bodi wakati mwingine inatakiwa wawe wajanja. Vinginevyo hawa vijana wanaweza kuwazidi ujanja Na wasijue lolote. Combination nzuri ya watu inatakiwa bodi mbalimbali.
  11. R

    Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Hii ilikuwa nondo Na imeshiba. Ilikuwa jf ya akina Mzee mwanakijiji Na Mzee es.
  12. R

    Tetesi: Mchakato UVCCM; Mgombea Uenyekiti Mwesiga, Kangoye wakamatwa na TAKUKURU Mbeya, TAKUKURU wamgomea January Makamba

    Hizi ndiyo fitina za vyama. Hivi mbona hata picha hakuna? Inawezekana Mwesigwa Ni tishio.
  13. R

    Uchaguzi UVCCM: Mjue kijana Thobias Mwesiga Richard

    Huyu Ni kichwa anafaa. Sana.
  14. R

    Itungwe sheria kudhibiti tabia ya vigogo serikali kutumia magari ya serikali baada ya saa kazi kama kwenda nayo Bar

    Utekelezaji wake ni mugumu. Changamoto ni nyingi. Mfano mtu katoka na gari la serikali morogoro jioni kwenda dar kikazi akifika dar akafikia hotel au njiani akapaki kupata chakula sheria inasemaje? Mambo mengine ni udhaifu wa taasisi tu hakuitaji sheria. Kuna sheria inazuia kwenda na gari la...
  15. R

    SUMATRA: Marufuku abiria kuzungumza siasa, dini, biashara ndani ya basi!

    Nafikiri wapige marufuku magazeti yote yanayoandika siasa maana yanauzwa kwa wingi pale ubungo na abiria wanayanunua na kuyajadili. Yatatuponza.
  16. R

    Kazi ya Dr. Slaa kwa awamu ya Tano

    Mambo ya ndani au nishati
Back
Top Bottom