Search results

  1. J

    Huyu mdada kachanganyikiwa...anahitaji msaada

    Unajua wa'DADA na wa'MAMA wa siku hizi wanapenda vitu viiingi kwa wanaume ambavyo in reality kwenye LOVE huwa haviliwi! Kwa mfn: Uhandsome, Utanashati, Usuperstar, Umaarufu na Utajiri ni vitu vinyochukua sana fikra zao. Lakin kiukweli kama muonekano wa nje ungekuwa bora sana, basi FENES na NANAS...
  2. J

    Mabinti wadogo maziwa "kudondoka" mapema: What has gone wrong?

    Mi nadhan tatizo lipo kwenye MODERNIZATION. Mchicha unachukua siku chache, nyanya nazo mbio mbio toka kupandwa mpaka kuliwa! Kuku na mayai ya kisasa navyo vinachangia sana KUSHURUTISHA mfumo wa UKUAJI. SIMULIZI kali za mapenzi, TELEVISION, MIKANDA ya MAIGIZO ya kimahaba navyo huwakuza mabinti...
  3. J

    Kinadada na zawadi za ma apple na maua

    Tatizo watu wana'copy motion' za UGHAIBUNI ambako hivi vitu vina maana sana. Tena huenda hata bei ziko vizuri! Inasikitisha mtu amelazwa dalaja la III, we unampelekea kadi, maua na kajitunda (APPLE) wakati chakula tu ni shida wodi hizo. Huo ni UKASUKU, kwani uzito wa kadi si uko kwenye MAANDISHI...
Back
Top Bottom