Search results

  1. Mashoo Mashoo

    Wanawake jinsi walivyo sio waaminifu

    Are you dying? Or moving to mars?
  2. Mashoo Mashoo

    Wasioolewa na kujiamini kupitia vitu

    Ifike kipindi baadhi ya wanaume waache kuamini kuwa kumuoa mwanamke ni kama tendo la kumhurumia au kumsaidia. Mnakosea. Ndoa ni makubaliano kati ya mme na mke kuingia kwenye hatua ya juu ya mahusiano . Ukiona mtu amefikia umri mkubwa na bado hajaoa au kuolewa basi makubaliano hayo hayajafikia...
  3. Mashoo Mashoo

    Hii yetu wanaume.

    Kumbe mnajua. Ila mnafanya makusudi.
  4. Mashoo Mashoo

    Uhusiano kati ya uislamu na ugaidi,..msaada

    Lini hiyo? Mnaota ndoto za alinacha kweli. Haita kaa itokee mpaka uzao wako wote unaingia kaburini. Huko mnakoenda baada ya kuua ndio mkaeneze hizo imani zenu za bikra 72.
  5. Mashoo Mashoo

    To My Ex....

    Hahaa! Pole mkuu. Sicheki kuwa yamekukuta.
  6. Mashoo Mashoo

    To My Ex....

    Teh teh
  7. Mashoo Mashoo

    Ni zipi Tabia za Mabinti Wapogoro

    Watu wakarimu sana.
  8. Mashoo Mashoo

    Bank inaweza kuzuia usikopeshwe na bank nyingine?

    Ameshalipa wa nbc tayari, kupitia hiyo dhamana yake iliyouzwa. Angekuwa bado anadawaiwa na nbc hapo ingeleta shida. Hata hivyo, pengine nmb hawajapata hizo taarifa za mkopo wa nbc wa huyo mteja.
  9. Mashoo Mashoo

    Tahadhari Kwa Wezi Wa Simu Mtaani!!!

    Vibaya mnoo. Kuna mmoja aliiba simu kwenye ofisi, na camera za ofisi zikamnasa kabisa wakati anaichukua. Akabisha, mpaka leo hawana la kumfanya.
  10. Mashoo Mashoo

    Tahadhari Kwa Wezi Wa Simu Mtaani!!!

    Nimeipenda hiyo app. Ila kibongo bongo mwizi atakana tu hata kama picha yake imetumwa kwenye email.
  11. Mashoo Mashoo

    Tuige hii desturi ya wachaga

    Watu wana chuki za hatarii!!
  12. Mashoo Mashoo

    Mwanamke: Aina 10 za wanaume wa kuepuka kuwa na mahusiano nao hawa hapa…!

    Hii mada angekuwa ameleta mwanamke angeshambuliwa kweli kweli.
  13. Mashoo Mashoo

    Mwanamke: Aina 10 za wanaume wa kuepuka kuwa na mahusiano nao hawa hapa…!

    Wapo ambao hawana hizo tabia. Ila ni wachache mno. Most of them are taken. Noted.
  14. Mashoo Mashoo

    Nimeitwa kwenye Usahili BOT

    All the best mkuu
  15. Mashoo Mashoo

    Nimeitwa kwenye Usahili BOT

    Hivi kumbe na wewe una hizi mambo?
  16. Mashoo Mashoo

    Nifanyeje niweze kumsahau? Please advise

    Fanya maamuzi na usimamie hayo maamuzi yako. Utapelekeshwa kweli kama utakosa msimamo kwenye maisha yako. Pole kwa maumivu.
  17. Mashoo Mashoo

    Msafiri kafiri

    Kwahiyo kilo zisipowiana hakuna safari? Je ikipigwa break inakuwaje? Wanateremkaje?
  18. Mashoo Mashoo

    Mwana jf mwenzetu huyu tumsaidie maneno ya kusema

    Mimi ningesemazana na mpiga picha tu. Huyo wa pembeni yangu sina neno naye. Teh teh...
Back
Top Bottom