Search results

  1. K

    Jeshi la Magereza limewaonea wanafunzi maafisa Kiwira!

    Jamani hili jambo halijapatiwa ufumbuzi, kuna mwenye msaada?
  2. K

    Jeshi la Magereza limewaonea wanafunzi maafisa Kiwira!

    Kwakweli hili hatutalinyamazia,ni uonevu wa hali ya juu. Ajira kwa vijana ndio hizi,watu wanatafuta kwa nguvu zao halafu wengine wanakuja kuchukua kiulaini,kwakweli hii itafika mbali kama sio wenzetu warudishwe kwani wana sifa zote na mbaya zaidi tumehenya nao huku kwa miezi miwili..
  3. K

    Jeshi la Magereza limewaonea wanafunzi maafisa Kiwira!

    Inasikitisha sana kuona vijana wanapata ajira serikalini halafu bila kutendewa haki mnawafukuza kwa makosa yenu wenyewe.Jeshi la magereza walitangaza nafasi za kazi ambapo walitakiwa wasomi na wengineo.Tulijitokeza kufanya interview na baada ya wiki mbili majibu ya tuliofanikiwa...
  4. K

    Shameful!

Back
Top Bottom