Search results

  1. M

    JK Rais Bora kuliko wote Tanzania

    We need positive Solutions to all challenges!! that will make him the best.
  2. M

    Seriously! I want to join freemasonry..

    Masonic Secrets: The Secret Handshake, Secret Word, Secret High Sign, and the Secret Nature of Freemasonry go through above web, you will get information about what you real want to become bro, shika sana ulichonacho asije mwivi....................!!
  3. M

    Nashauri vyeo hivi vifutwe!

    naunga mkono hoja
  4. M

    Wikileaks' release on Tanzania Tanzania; August 2011

    wakuu nimeingia kwenye hiyo link ila sijui habari naipata wapi, muongozo tafadhali!
  5. M

    JK amemsimamisha Jairo kupisha uchunguzi wa Bunge - PINDA

    Hii movie sijui part3 itakuaje maana hii ni part2, kweli kikwete nchi imemshinda.
  6. M

    Elections 2010 JF Exclusive: Election 2010 Results (General)

    this is very nice, ila sijaelewa kwenye parliamentary counts, would have been great kama hapo kwenye bar chart ya general results zingewekwa in form of seats. sijui wengine mnaonaje?! ni mawazo tu! shukrani sana mkuu.
  7. M

    Tunalaani kitendo hiki, hakivumiliki!

    Aisee, huku tunakoelekea sio kuzuri kabisa, inasikitisha sana. hata mimi nalaani vikali!
  8. M

    Elections 2010 Tutegemee nini katika awamu ya pili ya Kikwete?

    wala sijui cha kutegemea, my expectations alipokua anaingia zilikua tofauti na alichokifanya, probably worse or better.
  9. M

    Mwitikio wa Wananchi juu ya Hotuba kali ya JK dhidi ya TUCTA

    Watanzania tungelua majasiri kama Bi Asha, saivi tungekua mbali jamani.
  10. M

    Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    Naona ungefafanua zaidi mkuu. Labda mi sijaelewa.
  11. M

    Baraza la Mawaziri la Kikwete lagawanyika

    tutafika Kweli kwa hali hii ??
  12. M

    Kikao cha CCM: RA Atema Cheche "Nitajiuzulu...."

    this is so insane, Hizo tume zote zilizoundwa na kutoa report zimeishia wapi!! watanzania tunafanywa wajinga!!
  13. M

    Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    utafikiri ni wamama wamekaa kibarazani wanasutana!? Kumbe ni viongozi wa nchi!! Duh! aibu .
  14. M

    Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    Sio njaa ni ukosefu wa maadili.
  15. M

    Shameful!

    inauma sana aisee. and there is another 5 years for us to take the same shits.
  16. M

    Hakika Lowassa Alivunja Rekodi Kuingiza Wanafunzi Wengi Sekondari!

    sawa kuwepo kwa shule ni bora kuliko kuliko watoto kuwa nyumbani. but is there anyone who knows whats goin on kwenye shule za kata?? Acheni sijui tunatengeneza generation ipi?
  17. M

    Kagoda Haina Kesi, hawafikishwi Mahakamani Ng'o!

    jamco ndugu yangu, tatizo sio ccm, Tatizo ni Sisi watanzania mabwege. Tunaogopa! na hatujui sheria wala haki zetu.
  18. M

    EA Treaty DEAD According to J Mashaka

    I totally agree with u that, land should be out of the topic, If Tanzanian are treated unfair in their own country by our neighbours. Then what will happen if they will have all rights?? there is a company I used to work which is based in europe,where the headquarters are in nairobi, they...
  19. M

    Sitafutwi na mtu, kama yupo aje Bariadi - CHENGE.

    watanzania tumezidi uoga jamani, Mambo kama Haya yakitokea kule kwa kina queen elizabeth, siku nyingi watu wamesha wajibishwa. lakini Sisi Viongozi wetu wataanzaje, wakati wao wenyewe wameoza kabisa.
Back
Top Bottom