Search results

  1. R

    Tamko la LEAT juu ya jaribio la mauaji ya Tundu Lissu

    Timu ya Wanasheria ya Wanasheria Watetezi wa Mazingira kwa Vitendo LEAT imetoa tamko la kulaani kwa nguvu zote wale waliomshambulia kwa risasi mfanyakazi mwenzetu wa zamani Ndugu Tundu Antiphas Mughwai Lissu huko Dodoma. LEAT inataka kusakwa na kushitakiwa wote waliohusika na jinai hii ya kiovu...
  2. R

    Tamko la LEAT juu ya Ripoti ya Kamati Maalum ya Rais kuhusu Mchanganyiko wa Madini katika Makontena

    Timu ya Wanasheria Watetezi wa Mazingira kwa Vitendo (LEAT) imetoa tamko juu ya Ripoti ya Kamati Maalumu ya Raisi Juu ya Mchanganyiko wa Madini (Makinikia) katika Makontena yaliyozuiliwa bandarini. Tamko hilo limeambatanishwa hapa. Kwa ufupi LEAT haishangazwi na kile kilichobainika kwani ni...
  3. R

    Amri ya Mahakama Kuu iliyofanya VIP Engineering kulipwa Fedha zake

    Si tu kichwani bali pia ubongoni anayefikiria kwa tumbo na makalio ndio anaweza kukataa nilichokisema.
  4. R

    Amri ya Mahakama Kuu iliyofanya VIP Engineering kulipwa Fedha zake

    Re-calculation ipi wakati mtu alitakiwa alipwe pesa zake. PAP alitakiwa kumlipa VIP pesa zake suala la "re-calculation" haliwahusu VIP usichanganye mambo hapa.
  5. R

    Amri ya Mahakama Kuu iliyofanya VIP Engineering kulipwa Fedha zake

    Kosa ni la kiuandishi na haliondoi ukweli kuwa muhuri na saini ya Jaji. Kosa hili linasahishika kwa mujibu wa kifungu cha 96 cha Kanuni za Mwenendo wa Kesi za Madai Sura ya 33 ya Sheria za Tanzania kama zilivyorejewa mwaka 2002.
  6. R

    Amri ya Mahakama Kuu iliyofanya VIP Engineering kulipwa Fedha zake

    Nadhani ungepitia kwa makini hiyo Amri ya Mahakama ungeelewa kile nilichokisema tokea nilipoiweka hapo juu shida ni kuwa wenye nia ovu (Cabal) wamefanikiwa kuwafanya watu wote waliopokea fedha kutoka VIP kuwa ndio mafisadi wakati wakijua Mahakama ilitoa amri ya VIP kulipwa fedha zake za mauzo ya...
  7. R

    Amri ya Mahakama Kuu iliyofanya VIP Engineering kulipwa Fedha zake

    Ujasiri wangu ni kukuleta Amri hiyo ya Mahakama kama unafahamu sheria utaelewa nguvu ya amri hiyo. Unaweza kusema nimechanganya kuiita hukumu au uamuzi suala ni kuwa hata uwe na uamuzi au hukumu havitekelezeki mpaka uwe na Amri na ndiyo hiyo hapo chini. Mahakama ndiyo ilikuwa msuluhishaji na...
  8. R

    Amri ya Mahakama Kuu iliyofanya VIP Engineering kulipwa Fedha zake

    Mtu asiyependa ukweli hawezi kuelewa ukweli. Yeye atapenda kuwahukumu watu wasio na hatia na kuwaita wezi huku hana hata chembe ya ujasiri kuwakamata wezi wenyewe. Yeye ni yule apendaye kuchangia kupiga watu mawe bila hata kujua kosa lao. Kama ungesikiliza maelezo ya Prof. Tibaijuka mchango...
  9. R

    Amri ya Mahakama Kuu iliyofanya VIP Engineering kulipwa Fedha zake

    Hiyo ndiyo hukumu ya mahakama sasa kama wewe una mtindo wako wa kuandika tarehe kauanzishe katika mahakama yako na si ya Tanzania tuliyo nayo sasa. Shida ni kukataa kusikia ukweli ili kutekeleza nia ovu ya kuhukumu watu bila kuwasikiliza.
  10. R

    Amri ya Mahakama Kuu iliyofanya VIP Engineering kulipwa Fedha zake

    Walilipa $7.5milioni na wakataka kutokomea na Rugemalira akawafungulia kesi ya kudai kutekelezwa kwa mkataba mnamo tarehe 8 Januari 2014 ambayo ndiyo ilisababisha Amri hii ya maridhiano. Rugemalira alikataa kutapeliwa na akapigania haki zake leo hii anaitwa kila aina ya tusi kana kwamba mtu...
  11. R

    Amri ya Mahakama Kuu iliyofanya VIP Engineering kulipwa Fedha zake

    Inabidi urudi darasani kusoma sheria na kuelewa maana na nguvu ya Consent Settlement Order. Kwa faida yako hiyo ni amri iliyotokana na usuluhishi wa mahakama. Isome vizuri Amri hiyo na ujue maana yake!
  12. R

    Amri ya Mahakama Kuu iliyofanya VIP Engineering kulipwa Fedha zake

    Mahakama iliamuru VIP alipwe pesa zake zilikotoka si suala la VIP kwani yenyewe ilitakiwa ilipwe pesa zake kwa mujibu wa mkataba na hata muda wa malipo na kodi vyote vimetajwa katika Amri hiyo. Na hiyo ndiyo amri ya Mahakama na siku zote hakuna anayeizungumzia Amri hii na watu wanaaminishwa kuwa...
  13. R

    Amri ya Mahakama Kuu iliyofanya VIP Engineering kulipwa Fedha zake

    Hiyo ni hoja ambayo Kamati ya Zito na Bunge hawakutaka hata kuizungumzia na kuaminisha umma kuwa ilikuwepo kesi ya IPTL na TANESCO huko ICSID ambayo eti iliamuriwa februari mwaka huu wakati kesi iliyokuwepo ilikuwa kati ya SBC v. TANESCO. Haki ikipotea uongo, dhuluma na ukuwadi utamalaki!
  14. R

    Amri ya Mahakama Kuu iliyofanya VIP Engineering kulipwa Fedha zake

    Soma hukumu Mahakama na usichanganye mambo. Hakuna neno escrow katika uamuzi huo. Wakuulizwa ni PAP hizo pesa ilizipata wapi na si VIP!
  15. R

    Amri ya Mahakama Kuu iliyofanya VIP Engineering kulipwa Fedha zake

    Sasa kama uliiona kwanini mkaamua kupindisha ukweli na kuwahukumu wasiohusika na kuwaacha wezi huru? Aibu kwako wewe uliyekufa dhamira.
  16. R

    Amri ya Mahakama Kuu iliyofanya VIP Engineering kulipwa Fedha zake

    Uharamu wake ni upi wakati mahakama imeamua alipwe fedha zake na PAP na ndivyo ilivyofanywa? Je ndugu yangu umesoma Amri ya Mahakama Kuu na kuielewa au unaamua kuwa mbishi kama mshipa?
  17. R

    Amri ya Mahakama Kuu iliyofanya VIP Engineering kulipwa Fedha zake

    Mimi nimeleta ushahidi wa amri ya mahakama kuu juu ya wao kulipwa fedha? Wewe leta ushahidi unaopinga au kukanusha hilo na si kuanza kuzungumza kwa hisia na kudhania. Mtu mweledi atasimamia ukweli unaoendana na ushahidi. Yes I know Tanzanians are smarter but I don't want them to be duped through...
  18. R

    Katiba ya escrow haipiti

    Kimbunga cha mabadiliko kinapita nchini Tanzania. Wananchi wa Tanzania wamefahamu wazi kuwa hivi sasa nchi yetu inahitaji mabadiliko. Hitaji hilo limejionyesha katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Licha ya CCM kuwa ndiye mshindi wa jumla lakini kupoteza kwake kwa mitaa, vitongoji na vijiji...
  19. R

    Amri ya Mahakama Kuu iliyofanya VIP Engineering kulipwa Fedha zake

    Umesema vema iweje mtu asiyehusika na wizara yenye dhamana na uchotwaji wa fedha hizi awajibishwe wakati wale waliotoa amri ya kutolewa fedha wakiachwa na huku wakipangwa kupongezwa kuwa ni watendaji kazi wazuri ambao ni lazima wabaki katika serikali. Suala ni kuwa VIP ililipwa fedha zake halali...
  20. R

    Prof. Anna Tibaijuka atolea Ufafanuzi sakata la Escrow, agoma Kujiuzulu

    Mbayuwayu ni yule asiyependa kusikia upande wa pili na kung'ang'ania hukumu iliyotolewa bila mtu kumsikiliza na kutaka mtu awajibike kwa makosa yaliyotendwa na wizara asiyo na dhamana nayo. Je nchi ya Tanzania inakataza mtu kupokea mchango? Nasema haipo ila mbayuwayu kama wewe ndiye unayetaka...
Back
Top Bottom