Search results

  1. timotheo john

    Maisha ni fumbo, imeniuma sana

    du..brother story yako ntaifanyia track ase....ina mengi ya kujifunza...
  2. timotheo john

    Tunasubiri tamko la BAKWATA juu ya Mahakama ya kadhi

    HII NCHI SIO SECULAR STATE JAMANI...ni non secular..na maana nchi haina dini ila watu wanadini..mimi siwapingi waislamu kuwa na mahakama ya kadhi..ila kitu nachohofia ni kwamba italeta utengano baina ya waislamu na jamii kwa ujumla hasa ukizingatia kwa jamii tunayoishi haiitaji sheria za jino...
  3. timotheo john

    Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?

    mimi yashawah nikuta..dada mmoja best sana alinishaur ila nikamgomea lakin akazid kunishawishi sana..mm nlipima nikaona hapa maslah hakuna wote wez tuu..basi bana ili nisimvunje moyo nikamwambia pesa sina..japo nilikuwa nayo..akanambia nitakuongezea ulipopungukiwa..nikamwambia kat ya 360000...
  4. timotheo john

    Mzee Yusuph Ametangaza nia ya kugombea Ubunge kupitia CCM

    bird with the same feathers do fly together
  5. timotheo john

    Serikali yakanusha kuhusu ndege ya rais wa China kubeba Pembe za ndovu na kusema ni uongo

    kwani hapa kichina kipi hadi mtu abishe?je aljazeera,Dw na vyanzo vingine ni waongo?na kama ni waongo uchunguz wenu uko wap nyie wa bongo?WITHOUT RESEARCH NO RIGHT TO SAY....haya mambo yanaukwel ndio maana wenye maendeleo ya technology wanayaweka bayana....nyalandu na membe wanabisha bure ila...
  6. timotheo john

    Serikali yakanusha kuhusu ndege ya rais wa China kubeba Pembe za ndovu na kusema ni uongo

    nimekuwa nikisikiliza mahojiano ya BBC london na msemaji wa serikali ya TANZANIA juu rais wa china kuondoka na meno ya tembo....HAKUNA HOJA ANAYOTOA HUYU WAZIRI ZAIDI YA KUJIKANYAGA TU.
  7. timotheo john

    Kisima kingine cha gesi chavumbuliwa Tanzania

    Poor tanzania,....viongoz wako wanakuangamiza
  8. timotheo john

    Natafuta mchumba jamani

    Dada nimependa sana ulichofanya ila me cna vigezo coz naingia mwaka wa tatu sasa am taking degree...bt if posible...your a gud friend
  9. timotheo john

    Msajili wa vyama vya Siasa Jaji F. Mutungi amzuia Mbowe kugombea uenyekiti tena

    NA NDIO MAANA NASEMA BUSARA HUNA...NAZUNGUMZIA MASWALA YA MATUSI, TENA BADO UNATUKANA...swala sio kukiukwa katiba bt jenga hoja kwamba wapendelea nin koz mawazo yako pia n muhmu kwa CDM endapo yanauzito...sio uje na hoja @ ooh! MBOWE kaishiwa, hyo siasa au PROPAGANDA?
  10. timotheo john

    Msajili wa vyama vya Siasa Jaji F. Mutungi amzuia Mbowe kugombea uenyekiti tena

    Heri yako unaechambua mambo, magamba wamejaa jazba, hoja waleta wao, matusi waanzisha wao....HII PAGE WAMEKOSEA SANA KUJIUNGA COZ NI YAMAGREAT THINKER.
  11. timotheo john

    Msajili wa vyama vya Siasa Jaji F. Mutungi amzuia Mbowe kugombea uenyekiti tena

    Ofkoz nyani haon kundule, Mbona Lyatonga Mrema hamsem kama ankiharibu chama?Kama haupo CDM huwez jua mchango wa MBOWE
  12. timotheo john

    Msajili wa vyama vya Siasa Jaji F. Mutungi amzuia Mbowe kugombea uenyekiti tena

    Mkuu naona unaingza hisia kwenye jambo la kisiasa...TOO BAD!
  13. timotheo john

    Msajili wa vyama vya Siasa Jaji F. Mutungi amzuia Mbowe kugombea uenyekiti tena

    Sasa mambo ya CDM huyu msajil wa chama anayafwatilia ya nin wakat hata CCM,CUF bado kuna uoza? Kuna maslah gan hapa? Maana alyetoa malalamiko ni mwigamba.
  14. timotheo john

    Msajili wa vyama vya Siasa Jaji F. Mutungi amzuia Mbowe kugombea uenyekiti tena

    Hv katiba ya CCM inasemaje kuhusu uchaguzi wa mwenye kiti?hapa naomba kufahamishwa..NINAVYOELEWA ANAECHAGULIWA KUWA RAIS NDO MWENYEKIT...kama anayekuwa RAIS Ndo mwenyekit haki iko wap kwa wanaotaka kugombea nyadhfa hyo?
  15. timotheo john

    Kilio changu ni juu ya Deni la Taifa tunalodaiwa mpaka sasa

    DA!....where is Patriotism?...MY COUNTRY HAS BEEN RAPED MERCILESSLY!
  16. timotheo john

    'Mzimu' wa Zitto ndani ya CHADEMA wamfikisha Katibu wa CHADEMA, CCM

    Angehama mwanachama MKUBWA kutoka ccm kuja chadema mngesema Shu Shu shu aliyetumwa na ccm kuvuruga chadema...mnauhakika gani Huyu Ngwalanje hajatumwa na CHADEMA kupeleleza CCM? Siasa INA mengi think BIG GREAT THINKER.
  17. timotheo john

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatatu, Tarehe 14 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Kawa akil ya kawaida wataona TUNDU LISU amemdharau Mwlm. NYERERE lakin magamba siku zote wanaogopa kusema ukwel...HUYO NDO TUNDU LISU n mtu wa kimataifa katka maswala ya kisheria
  18. timotheo john

    Kazi nzuri Tundu Lissu Antipas!

    We unaetukana huku kwa magreat thinker na wewe kwel ni great thiner?TUMIA AKILI SIO BICHWA!
  19. timotheo john

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    ZANZIBAR ni TAIFA kamili lenye misingi yake na linalopaswa kuwa na vyama vyake vya kisiasa na kuwa huru pasipo kulazimishwa kuungana na TAIFA LA TANGANYIKA, tukitambua hlo hasa wazanzibar wakipewa nafasi ya kuchagua wanataka muungano hawataki...ndilo litakuwa swala la msingi katika kutatua kero...
Back
Top Bottom