Search results

  1. S

    Buriani Amina Chifupa!

    Mie nilikuwa nafikiria Mafia Wapo italy tu kumbe hata............!!!!!!!!!!!?????????? namuombea dada yetu Amina Chifupa Kwa mwenyezi mungu subhanna huwa taalah amsamehe madhambi yake yote na ailaze roho yake mahala pema peponi Tutamkumbuka na hatasahaulika, kifo chake hakijasababisha kupungua...
  2. S

    Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

    Kama mambo ni haya basi kuna siku bendera ya nchi itapepea nusu mlingoti mwaka mzima maana itakuwa vifo mfululizo.
  3. S

    Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

    Kama humu JF kunakuwa na topic nyingine za maana zaidi na zinafutwa bila ya sababu, wala taarifa basi ningewaomba wahusika wafute topic hii na isichangiwe kabisa, na pia uongozi wa JF uwaandikie barua waandishi wa habari wa tanzania, wasipende kuandika au kuzusha Kashfa ambazo hazina ushahidi...
  4. S

    Je, wapinzani ni wakombozi?

    Ndugu yangu kwanza soma kisha elewa, halafu ndio ukimbilie keyboard, Kwanza kumbuka Mwl. Nyerere alikuwa akipigania uhuru, na alianza ku mobilize watu kuanzia ngazi ya mjumbe wa nyumba 10 na ndio maana aliweza kukubalika na kujulikana kwa urahisi. na hatimaye kufanikiwa. Sasa ndugu yangu...
  5. S

    Je, wapinzani ni wakombozi?

    Noo!!! kama nimemuelewa mwana kijj vyema! naweza nikachangia kama ifuatavyo, Nchi kuongozwa na moja ya chama cha upinzani sio suluhu kabisa ya matatozo ya Tanzania, kwa muono wangu inawezkana pia ikawa ndio balaa, kwanza wapinzani wanaweza wakawa so EXITED na kuiburuza nchi sehemu nyingine...
  6. S

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    Miaka mingi sijaingia humu japo ni mwanachama wa siku nyingi, ila huwa nawasoma sana, leo hii mikono imeniwasha kweli kweli nahapa nilipo natetemeka, moyo unanidunda, saa yoyote naweza nikafuatwa na AMBULENSI, baada ya kusoma eti Viongozi wa ngazi za juu wa tanzania wapo busy kuwaletea...
  7. S

    Hatimaye Kikwete Afanya Kweli

    mimi nimependezea sana na hii forum haswa, katika topic ya siaa maana mimi napenda sana maswala ya siasa, Baada ya hapo napenda niwapigie hodi ndani ya Ukumbi huu, kisha nikishakaribishwa nitaangusha mawazo yangu hapa. siku njema
Back
Top Bottom