Hahahaha Atajiua Mkuu, ila duh kakosea sana mleta mada, ana sababu zote za kutomuhitaji kwanini alimkaribisha ndani kwake? matatizo mengine tunajitakiaga
Kwa yote hayo bado unampa lift? basi una lako jambo kwanini usibadilishe time ya kuondoka akute ushaondoka? atakupigia urudi kumfata? mnayataka wenyewe bwana, mume wa rafiki yangu hivohivo alikuwa anampa lift jirani, jirani akawataarifu na wenzie kama kuna lift huku, asubuhi moja kawakuta...
Kwa sifa hizo zote usipomuoa utarudi kumtafuta wakati hana nafasi yako tena, wanawake wa upendo huo tuko wachache sana, fanya hima muoe bila kujiuliza, kila la kheri naomba card ya mchango tafadhali usinisahau
Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Zeb akiwa amepigw pingu baada ya kunaswa akiwa na mwanafunzi wa kiume gesti Maeneo ya Manzese, wahudumu walisikia miguno wakamtilia shaka kuwa kinachoendelea ndani si cha kawaida
Hivo tukiwa na watoto tukiachwa ndio basi teeeenaaa eeehhh? pole ya sisi jamani tujenge nyumba zetu japo wakati mwingine ata uweke zege wabomoaji wengi
mkuu kama karudi huko huyo yamemshinda hakufai chondechonde my brother usimfikirie na usimpe nafasi move on, muogope sana mwanamke aloonja pengine na kurudi kwako, comparison zitakuwa nyingi kila kitu atataka ku compare take my note please
Tukumbushane japo kwa sentensi moja yule wa mwanzo alienda wapi na ilikuwa vp? kama aliondoka kwa wema tu basi bora zimwi likujualo, lakini kama alienda kwa mwanaume mwingine yamemshinda anarudi kwako hakufai ata kwa second, huu ushauri tu akili kumkichwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.