Search results

  1. B

    Nimempenda Mkuu wa mkoa Wa MWANZA

    Mkuu wa mkoa MWANZA mh Evarest Ndikilo yuko mtaani maeneo ya posta road anaongea na wamachinga kiustarabu kabisa juu ya usafi nanamna ya kufanya biashara ktk maeneo yanayo kubalika kilichonivutia hana gari yuko peke yake na askari mmoja na yuko kirafiki zaidi anawaambia wamachinga hata wao...
  2. B

    Wana siasa wanatudharau??

    jambo wana jf, kampeni za ubunge chalinze zinaendelea! hahadi lukuki zinatolewa Ridhiwani anatuahidi maji safi, zahanati kila kijiji ,utatuzi wa migogoro ya ardhi nk, ni ahadi lukuki na ahadi nyingi zilitolewa na baba yake ambazo mpaka leo pamoja nakuwa rais hazijatekelezwa na leo mtoto...
  3. B

    Nani Mtetezi Watanganyika ndani ya Ccm

    Mzee Wasira yuko ndani ITV ktk kipindi cha dk 45 kila anapoulizwa swali juu Tanganyika anaonekana hapendi hata kusikia jina hilo ktk masikio yake ,Wana CCM Tanganyika iliwakosea nini? nani mtetezi watanganyika ?mnaona hata kinyaa kuitaja, inackitisha!!!!
  4. B

    Kumbe Mwigamba ndie Katibu mkuu (taifa) ACT!

    Jambo wakuu, jioni hii hapa Mwanza tumeshudia matangazo mitaani ya mwaliko wa mkutano wa chama cha ACT kesho ktk viwanja vya shule ya msingi mbugani miongoni mwa wageni wakitaifa ni pamoja na katibu mkuu taifa Samsoni Mwigamba kwa mujibu wa matangazo
  5. B

    Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

    Tangu juzi hapa jijini Mwanza kumezuka kundi la vijana wanaowasulubu wanawake wanaovaa nguo fupi. Muda mfupi uliopita hapa maeneo uhuru karibu na shule ya Taqafa dada mmoja kavuliwa nguo zote kabaki kama alivyo zaliwa. Wasamaria walijaribu kumpa khanga nayo ikachanwa,waathirika wakubwa...
  6. B

    Ikulu yamgomea Nyalandu uteuzi wa mkurugenzi wa wanyamapori

    Kupitia mapitio ya magazeti asubuhi ya leo nikastushwa na habari ya gazeti mmoja kuwa katibu mkuu kiongozi amekataa kuutambua uteuzi mpya mkurugenzi wa wanyamapori. Kama ni kweli basi uongozi nchi hii ni tatizo.
  7. B

    kama nchi yetu niya amani kwanini Rais anawalinzi wawili?

    Nimekua nikishangazwa mara nyingi rais wetu anapokuwa akihutubia mikutano ,semina,warsha nk huwa anakuwa na walinzi wawili hii nikwanini?wakati tunaamini nchi yetu ni ya amani ,,
  8. B

    Kumbe kingunge anawakilisha waganga wa kienyeji

    kupitia taarifa ya habari itv usiku huu ndio nimejua kundi analowakilisha mzee kingunge ni kundi la chama cha watoatiba asilia wanadai walimwandikia barua rais wapate nwakilishi wan
  9. B

    Peter Kugi Mziray usiri wakati wa Rasimu ya Katiba - unataka kutuficha nini??

    Muheshimiwa huyu akiongea na itv amependekeza wafungiwe pasiwepo na chombo chochote cha habari wakati wanajadili rasimu ya yakatiba,, swali langu ni hili wanatka kutuficha nini wakati wao ni wawakilishi wetu???
  10. B

    kuzaliwa kwa chadema

    jambo wakuu,, leo tumeshuhudia sherehe za kuzaliwa kwa chama kizee (ccm )napenda kujua chadema tunsherekea lini??
  11. B

    Makamanda wa chadema!!

    jambo wakuu,, nimekuwa ni kifuatilia mikutano ya chadema inayo endelea mara nyingi katika kuhamasisha na huwa wanaitana makamanda swali langu ni hili hawa ni makamanda wa jeshi gani????
  12. B

    Tutegemee mabadiliko tena ktk baraza la mawaziri??

    Kumekua na msuto, lawama, kejeli nakila namna ya kuzungumza juu uteuzi uliofanyika, baadhi ya watu wameonyesha kutoridhika na mawaziri kama Mwigulu, nkamia nk, kama hofu imekuwa ya mapemahivyo je? tutarajie baraza jingine kabla ya 2015???
  13. B

    Huyu Ridhiwani ninani???

    jambo wakuu,nimekua safarini kikazi sehemu mbalimbali ndani ya nchi naleo niko simiyu kunajengo zuuuri linajengwa karibu na stand mpya nilipo muuliza mwenyejiwangu ni lanani nikaambiwa ni la ridhiwani nikashangaa kila mkoa unapopita ukikuta jengo zuri, malori yamafuta, vituovya mafuta nk...
  14. B

    Gazeti Habari Leo!!?

    jambo wakuu,, binafsi silielewi gazeti kwamuda mrefu, nigazeti linalo endeshwa kwa kodi za walalahoi watu masikini, nilitegemea lingekua chachu katika kubadilisha maisha watanzania masikini kwa kuandika kwa uhalisia matatizo yao haswa vijijini, iliyawezekupatiwa ufumbuzi na serikali,mfano elimu...
  15. B

    Msukuma amtunishia Misuli Bw.Msindai,asema hatamuomba msamaha

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita amesema hatomwomba radhi mh. Msindai na ametaka aache kuvuruga chama kwa kutofuata utaratibu wa chama ktk kuamua mambo yake hatakama yeye ni wa siku nyingi ktk chama. Source: ITV
  16. B

    Lembeli atishiwa maisha

    Mwenyeki wa kamati ya kudumu ya maliasili ardhi na nyumba James Lembeli amelalamika kutishiwa maisha na viongozi ambao ni wezi wa mali ya umma naye kasema yuko tayari kufa hatonyamaza.
  17. B

    Ndugai amtaka mkuu wilaya kiteto kujiuzulu

    Naibu spika wa bunge amemtaka mkuu wa wilaya ya kiteto kujiuzulu kwa kushindwa kuzuia mauaji kati ya wakulima na wafugaji
  18. B

    Efraim Kibonde na mradi wa Lowassa

    Anadai keshaanza mchakamchaka na baadae ataeleza zaidi msikilize kwenye jahazi
  19. B

    kwaheri 2013, kwaheri Nchimbi kwaheri said Mwema

    2013 umepita,,, lakini hakupita hivihivi umeacha makovu, maumivu na baadhi ya kina mama wakiwa wajane na watoto yatima ,wengine tuliambiwa wapigwa na vitu viyenyenchakali wengine walitekwa nakung'0lewa. jicho mara tukackia mabom arusha, yaani ilikuwa vurugu tupu kote huko mmeacha maswali...
  20. B

    Mmevuka salama????

    Jambo Wakuuu,,, Mmevuka salama 2013? kama ndio sema ndioooo tumshukuru Mungu pamoja
Back
Top Bottom